Tuna Ballistic Missiles ngapi hadi sasa?

Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
kutoa siri za nguvu ya ufalme wa majeshi yako ni kosa la kimkakati.

ni vizuri kufahamu tu kwamba,
yeyote atakaeleta chokochoko dhidi ya usalama wa mipaka au anga ya Tanazania, tutamfurahisha zaidi ya tulivyomfurahisha nduli idi amini dada mpaka sebuleni kwake πŸ’
 
Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
Kama si tunazo pekee za kupaishwa na ungo,sijuiii?
 
Ballistic missile ziwe za 2000 km ndio tamuuu hizi 50km za nini labda uwe umeingia kabisa ndani ya nchi.....tupende kujilinda na si vita....
 
Chokochoko mchokoe pweza
 
Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
KWA mujibu wa CCM, Ngoja nizihesaba;
1. Mahakama
2. Polisi
3. TISS
4. MAGEREZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…