Tumwombee Rais na Nchi yetu

Tumwombee Rais na Nchi yetu

tumuombee kwani kafa?
Swali mwenyewe kabla hujaswaliwa....!!
Kama swala zake zinadunda kwa mwenyeezi mungu wake atajiju!!
 
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Ukiona mganga wa kienyeji anaongoza kuomba sala, ujue hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom