Mganga wa Jadi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2008
- 280
- 52
Kumwombea kwa sasa haitasaidia!...tumeomba sana na kukesha pale PTA Halls miaka mpya yote, lakini sala zinadunda!
Dawa atoke, awaachie wanaoweza!
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Ni shetani tu huyo ndo anajaribu kuchafua hali ya hewa! Najua tukiwa wamoja tutashinda...........Matatizo mengi ni ya kujitakia/Uongozi mbovu sasa tuseme kaingiwa na pepo au nini kimemtokea maana wengi walisema ni chaguo la Mungu.
Duuh...... hiyo ni noma au ndo ishu ya albino damu zao zinatuandama????mapepo sugu hayatoki kwa maombi mpaka kwa kafara --- :lol: yanywe damu za watu
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Tumwombe Mungu ili Israeli afanye mambo yake fastafasta tuweze kumchagua rais mwingine fastafasta then fastafasta tuishi kama paradiso, Haleluya!
BWANA anaweza, nani kama BWANA, BWANA ahimidiwe!