Tumuunge mkono Rais kupokea wapinzani

Tumuunge mkono Rais kupokea wapinzani

chuchumeta3

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
237
Reaction score
87
Miongoni mwa majukumu ya mh rais ni kuteua watendaji mbalimbali.
Rais ana wakati mgumu sana kupata watu bora kujaza nafasi hizo na zimekuwa nyingi mno mpaka wakati mwingine zinaleta mjadala.

Ugumu huu unatokana uwezo mdogo wa watu chama tawala. Kumbuka ilibidi mbunge kuteuliwa ajiuzulu ili mh rais ateue mwingine ili awe waziri kwa wabunge waliopo uwezo wao hauna viwango wanapitwa hata Msukuma, Kibaji. Kwa Mbunge CCM wengi wao bora ni std 7. Hawajiamini hawajengi hoja za kusaidia serikali

UVCCM ndio empty kabisa hata kuna wakati aliwashauri kuwa makini kuchagua viongozi wao. Wanalipa kazi ngumu jeshi letu kujibu hoja upinzani.

Taifa letu sote kama watu bora wasafi wenye maadili bora na uadifu waliolelewa vyema na vyama vya upinzani. Basi na mjisifu na kumuunga mkono raisi. Kuliko kuona anateuwa watu wenye uwezo duni kisa toka chama chake. Matokeo kila siku tunashangilia akiwatumbua makada.

TAIFA LETU WOTE TUKIZAMA TUNAZAMA WOTE KAMA ILIVYOTOKEA MAIKA YOTE. BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA. Wapokelewe wapangiwe wapangiwe majukumu wanamisingi imara hawataliangusha taifa.
ASANTE
 
Miongoni mwa majukumu ya mh rais ni kuteua watendaji mbalimbali.
Rais ana wakati mgumu sana kupata watu bora kujaza nafasi hizo ,na zimekuwa nyingi mno mpaka wakati mwingine zinaleta mjadala.
Ugumu huu unatokana uwezo mdogo wa watu chama tawala.kumbuka ilibidi mbunge kuteuliwa ajiuzulu ili mh rais ateue mwingine ili awe waziri kwa wabunge waliopo uwezo wao hauna viwango wanapitwa hata Msukuma,Kibaji. Kwa Mbunge CCM wengi wao bora ni std 7.hawajiamini hawajengi hoja za kusaidia serikali
UVCCM ndio empty kabisa hata kuna wakati aliwashauri kuwa makini kuchagua viongozi wao. Wanalipa kazi ngumu jeshi letu kujibu hoja upinzani.
Taifa letu sote kama watu bora wasafi wenye madilibora na uadifu waliolelewa vyema na vyama vya upinzani .Basi na mjisifu na kumuunga mkono raisi.Kuliko kuona anateuwa watu wenye uwezo duni kisa toka chama chake.matokeo kila siku tunashangilia akiwatumbua makada.TAIFA LETU WOTE TUKIZAMA TUNAZAMA WOTE KAMA ILIVYOTOKEA MAIKA YOTE.BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA.wapokelewe wapangiwe wapangiwe majukumu wanamisingi imara hawataliangusha taifa.
ASANTE
 
kwa hiyo chama kubwa vilaza wengi
 
Kupokea wapinzani Mhe Rais anafanya kazi njema kabisa ila kuwapa vyeo kwa kweli inakuwa so vyema sana haswa ukizingatia kuwa ccm ina viongozi wengi sana na wenye uwezo mkubwa kuliko hawa wanaotoka upinzani.Mfano MTU kama Lau Masha hata ccm wenyewe walimchoka kabla ya kutimkia cdm
 
Back
Top Bottom