Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Professor, who was in Dodoma as at the time of Mzee Haule's passing revealed his father was struggling with high blood pressure but his condition had stabilised and was going on with his day to day activities. Read more on TUKO
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
High Blood Pressure Inasababisha matatizo kama figo. Moyo. Stroke nk. Baba yake alikuwa na tatizo hilo, na yeye utakuta alikuwa nalo pia. Sometimes linarithiwa na family members
Kweli aisee Kuna ndugu yangu mmoja alikua mfuatiliaji mzuri Sana wa masuala ya afya anakula vizuri mafuta hatumii ikibidi Sana kutumia mafuta anatumia ya alizeti tu pombe hanywi yaani kwa kifupi alikua anajali Sana afya yake kupitia chakula lakini bahati mbaya tulimpoteza kwa kansa.kwahiyo kifo ni fumbo
"Seed Oil" kama alizeti na mafuta mengi ya kupikia ni sumu na hatari sana kwa mwili kuliko wengi wanavyoelewa. Mafuta ambayo ni safe hadi sasa kwa mujibu wa wataalamu wa Lishe ni Olive Oil na Ghee/Samli Ukishindwa hayo gonga chukuchuku tuu.

Mungu awe pamoja naye. Apone haraka arudi ktk majukumu yake.. Profesa Jay ni miongoni mwa wasanii bora wa muziki wa rap.. huwa anaimba nyimbo zenye manufaa kwa jamii
Get well soon profesa... Kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥