mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,752
Ni muda sasa Godzilla tangu aachane na Mpenzi wake Doreen Andrew ""Deeandy amekuwa mtu mwenye frastruation na hayuko kama alivokuwa zamani.
Zilla amekuwa wakueleza matatizo ya familia yao kwenye mitandao ya kijamii.
Zilla utendaji wake wa kazi umeshuka sio kama alivokuwa hapo awali.
Zilla amekuwa mtu wa kuanzishiana noma kwenye mtandao wa kijamii..
Kuna siku alileteana noma hadi na Mwana Fa kule twitter ila Mwana Fa akatumia ukubwa wake nakuepusha maneno.
Kwa sasa naona kawa hata kwenye Interview akiitwa uzungumzaji wake ni kama mtu amabae hajiamini na hana imani na anachokifanya, mfano ni Interview ya XXL alivokuwa anatambulisha wimbo wake na Gnako-Kila wakati.
Sasa my take tumnusuru huyu Msanii wetu, kaka yetu, mdogo wetu. kama ni mapenzi please please Deeandy alisha Move on, pia Deeandy msamehee huyu bwana kama kosa lilikuwa lake msamee uokoe career yake, pia utamuokoa asije akaenda mbali zaidi akatumia madawa.
Ahsante.