Na kweli sasa nimeona unafiki wa wana ccm wakati wa msiba wa Dr.Mvungi eti tuenzi aliyoyapigania eg serikali 3 kumbe ilikua kejeli na huenda wao ndiyo wahusika wa mauaji yale.Gaidi wa ccm alikua kimbelembele ktk msiba ule
Warioba Mungu Akulinde na Akuangazie Nuru ya Uso wake, wewe na Familia yako.Pia ikibidi nenda kijijini kajipumzishe, tafuta hata mbuzi wa kuchunga ili u-refresh mind yako. Nahisi huku mjini magari mengine yanaweza yakakosa breki yakakugonga ukawa mwisho wako, au majambazi yakakuvamia na kupora laptop yako na kukuchanachana mapanga ya kichwa (RIP MVUNGI).
Aaaa wapi hana uzalendo wowote
Mkuu uko sahihi, hata iweje ukweli aliosema Warioba hautabadilika.
Kwa watu wenye mapenzi mema na hii nchi naomba tumweke jaji Warioba kwenye maombi yetu kila siku tusije kusikia naye kavamiwa na majambazi wakamwibia laptop na kumkata mapanga.
Mungu mlinde mtumishi wako huyu maana ana uzalendo na nchi yetu.