Tumuombee Jaji Warioba

Tumuombee Jaji Warioba

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Kwa watu wenye mapenzi mema na hii nchi naomba tumweke jaji Warioba kwenye maombi yetu kila siku tusije kusikia naye kavamiwa na majambazi wakamwibia laptop na kumkata mapanga.

Mungu mlinde mtumishi wako huyu maana ana uzalendo na nchi yetu.
 
Na kweli sasa nimeona unafiki wa wana ccm wakati wa msiba wa Dr.Mvungi eti tuenzi aliyoyapigania eg serikali 3 kumbe ilikua kejeli na huenda wao ndiyo wahusika wa mauaji yale.Gaidi wa ccm alikua kimbelembele ktk msiba ule
 
Mimi nilishangaa VIONGOZI WA CCM KAMA MWIGULU NA WENGINE KUA KTK ULE MSIBA na kujifanya wanalia huku ni unafiki.....acha tu nkimkumbuka ndugu yangu NALIA SANA KAMA ASINGETEULIWA KWENYE TUME TUNGEKUA NAYE HADI KESHO
 
ni upofu wa akili kwa kulewa madaraka tu wote mwisho wetu ni kuoza na kunuka tu,hephremu polepole nae tumuombe.
 
Warioba Mungu Akulinde na Akuangazie Nuru ya Uso wake, wewe na Familia yako.Pia ikibidi nenda kijijini kajipumzishe, tafuta hata mbuzi wa kuchunga ili u-refresh mind yako. Nahisi huku mjini magari mengine yanaweza yakakosa breki yakakugonga ukawa mwisho wako, au majambazi yakakuvamia na kupora laptop yako na kukuchanachana mapanga ya kichwa (RIP MVUNGI).
 
Mkuu uko sahihi, hata iweje ukweli aliosema Warioba hautabadilika.
 
Mzee Warioba mungu atakulipia daima, chuki na visasi unavyotendewa ikiwa ni pamoja na kudharilishwa, mungu atakulipia daima milele
 
Warioba katusaidia hadi tumegundua kuwa khaki ya muungano ni ya magumashi.sasa tumejua kwa nini kila aliyejadili muungano alipotezwa, kumbe ni gharasha.huu ukweli amesababisha warioba kuujua.it is too late to catch the plane, it is fying too far.
 
achakufundisha watu woga wew!!!!!! Hakuna kufa m2 wala wa2 na katiba itaandikwa kwa namna sahihi au kwa kulaghai:flypig:
 
Mkuu uko sahihi, hata iweje ukweli aliosema Warioba hautabadilika.

ni kweli.Ila nilichogundua ni kuwa "UKWELI" ni mbaya sana!!Ukiwa mkweli jiandae kupata matatizo.Unayoyaona yakifanywa na CCM yanatokana na kuumizwa na ukweli.Sasa wanashindwa kuwatupia wananchi mawe kwa sababu bado wanawahitaji ingawa wananchi hawawahitaji tena, badala yake wameamua kumtupia Mjumbe (Warioba) mawe.They are actually fighting the wrong Enemy, na Mfa Maji Siku zote haachi kutapatapa.!Wamwache mzee wa watu apumzike na aendelee na maisha yake.
 
Kwa watu wenye mapenzi mema na hii nchi naomba tumweke jaji Warioba kwenye maombi yetu kila siku tusije kusikia naye kavamiwa na majambazi wakamwibia laptop na kumkata mapanga.

Mungu mlinde mtumishi wako huyu maana ana uzalendo na nchi yetu.

Uache kuombea wazazi wako umwombee warioba?!!!!

Una shida si bure
 
Kwa kweli Mzee Warioba kwa CCM ameshakuwa ganda la muwa la jana, laana hii haitawacha daima.
 
Mungu akulinde na hao waovu CCM, kikombe alicinywea Dr Mvungi kikuepuke, maana akina mwigulu wanakuonea husuba Baba yetu mpendwa..
 
Warioba sasa yatosha, pumzika mambo mengine waachie na wengine!
 
Back
Top Bottom