Sijasema abadilike awe fisi au ng'ombe au mtu, nachouliza Mungu wa Izrael wewe unamuitaje mungu wako? Wewe ushaambiwa ni mungu wa izrael, mungu wa eliya, mungu wa yakobo, mungu wa isaka na mungu sijui wa nani.
Kwa nini ung'ang'anie mhngu asie wako awe wako?
Hawezi kuamua niishike biblia na nitangaze jina lake kwa kua uwezo huo hana.