Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,282
- 34,595
Tumuimbie kidogo.
"Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo
Achia ngazi bibi mchuma huo.
.
.
.
.
Umechelewaaaa, naondoka naye umeishiwa nina dunda naye .
Twaona mambo yapo huku taarabu himo taarabu himo.
Twaona mambo yapo huku weeeeee
Utaumiza roho yakoooo"
Kwa niaba ya Nasma Khamisi Kidogo
Kwamba waliofuata ni wahai.......
Hana hata la kusingiziwaDaah ww jamaa una MARINDA kweli,!?
Toka lini jini mnywa damu akawa na uchungu na huruma na mtu. Anajaribu kucheza na saikolojia ya watu, tumuone kaumia! Upuuz tu.Alivyo mnafiki alijifanya mpaka kuhema juu juu ili tumuone ana uchungu sana.
ππππππππDaah ww jamaa una MARINDA kweli,!?
Mnafki pro max.Alivyo mnafiki alijifanya mpaka kuhema juu juu ili tumuone ana uchungu sana.
AiseeHana hata la kusingiziwa