Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
udenda umekutoka mpaka umelowesha seva za jf.
Last edited by a moderator:
lazma utakuwa na F ya biology.
Mhhhh! Haya banaaaa!!!!
lazma utakuwa na F ya biology.
yani usiseme kabhisa bhinti! yani sio sefa tu, kitufwe cha love ninyo kinaruka putu putu mbele yangu!udenda umekutoka mpaka umelowesha seva za jf.
utavunja ndoa ujue.
nina a ya chemistry nkichanganya mauji nkimwagia ndani inatoka copy
yani usiseme kabhisa bhinti! yani sio sefa tu, kitufwe cha love ninyo kinaruka putu putu mbele yangu!
hu!
hu!
hu!
Moyoni hakuna utamu!!