Watumishi wa Bwana wafanye kazi pamoja na Bwana.Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki ili jeshi la polisi lisiingililie, na wala isionekane lengo ni kuvuruga amani ? Sikuwahi kupata jibu.
Ni njia gani hiyo ambayo CCM na Rais wao na jeshi lao watafunga midomo ili chadema iendelee kufanya mobilization kwa wananchi juu ya umuhimu wa reform ? Bila ya kuambiwa mmeanza kuota mikia ? Kama ipo isemeni.
Nina heshima kubwa sana na Christian Society, However I am not Christian! TEC ndio the only society waliomuita JPM chemba na kumuambia John, utamaliza wananchiβ¦. hizi sio Sifa za John , ACHA!
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada
Washupaze shingo Tena kina tlaahtlaah na nduguyo mwashambwa!Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki ili jeshi la polisi lisiingililie, na wala isionekane lengo ni kuvuruga amani ? Sikuwahi kupata jibu.
Ni njia gani hiyo ambayo CCM na Rais wao na jeshi lao watafunga midomo ili chadema iendelee kufanya mobilization kwa wananchi juu ya umuhimu wa reform ? Bila ya kuambiwa mmeanza kuota mikia ? Kama ipo isemeni.
Nina heshima kubwa sana na Christian Society, However I am not Christian! TEC ndio the only society waliomuita JPM chemba na kumuambia John, utamaliza wananchiβ¦. hizi sio Sifa za John , ACHA!
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada
Kama hamjui, hizo ni kampeni za kuikataa CCM .Nabii wa nani?
Nilidhani wa Mungu wa mbinguni ππΉπΏNabii wa watu ! Ulitaka awe nabii wa nani ?
"CCM imelaaniwa" - by Faustine Munishi.Nilidhani wa Mungu wa mbinguni ππΉπΏ
Yesu Kristo, Mussa na EliaNabii wa Mungu ni yupi !?
alitaka awe wa ccm yaani nabii chawa wa ccmNabii wa watu ! Ulitaka awe nabii wa nani ?