Tumsifu Rubani wa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumsifu Rubani wa JK

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mmakonde, Jul 21, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa yetu ni top class!
  Ameweza kumrushu msanii wetu kwenye GulfStream bila ya matatizo yoyote kuanzia Africa,Ulaya,America,Asia ,kasoro Antarctica na South Pole tu hawajafika.

  CV yake ni nzuri ,maana marubani unahesabiwa masaa mangapi hewani,kwa hiyo hata wazungu wanaweza kumchukua mara moja.
  Hebu tupeni CV yake,maana hicho chuo alichosoma ni kizuri sana
   
 2. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watanzania tumegubikwa na tamaduni ya kukurupuka na kuendeshwa na matukio siku zote, rais ambaye ni mtulivu ambaye anajua kupanga ni kuchagua huwa asilani hana papara rais amekuwa akitumia muda mwingi kusafiri huku na huko kutafuta ni jinsi gani ataweza kusaidia changamoto zinazowakabili watu wake. Tusiwe tunafikiri kwa kutumia ubongo na sio ufahamu kama vile tunavyo wakshifu wengine kuwa wanatumia matumbo kufikiri tukiwa tuna maanisha wanafikiri kwa njaa.

  Rais Kikwete ameonekana akiwa bega kwa bega na watu wake katika mambo mbalimbali yanayokabili hali ya maisha ya kila siku, alikuwepo mkapa shutuma nyingi zilielekezwa juu yake ni mbabe, sio msikivu, dictator nakadhalika lakini leo hii wale watu hao kwa fikra zilezile wanadiriki kumkashifu muheshimiwa rais kwa tuhuma nzito na kubwa kabisa lakini tunajua agenda zao, wanatumiwa na uma wa wezi na wenye uchu wa madaraka.

  Tanzania ni kisiwa cha Amani na Utulivu, kama unabisha leo hii njoo burundi uone nini kinachoendelea, Asilani tutalinda amani na utulivu wa nchi hii kwa nguvu hata kwa tone la mwisho la damu kama itatupasa kufanya hivyo.

  Tumekuwa wepesi wa kulaumu na kuendeshwa na matukio haya swala la UMEME, je unafikiri kama raisi akitatua tatizo la umeme matatizo mengine yatakuwa yameeisha kwa mfano, vifo vya kinamama na watoto, elimu, maji, masoko ya biashara kwa wakulima wetu, ajira kwa watu wetu tunakurupuka kwa mihemuko ya kisiasa.

  Fikra sahihi huja pale mwanadamu, anapotumia na kufikiri nnje ya boksi kwa kuangalia na mbinu nyingine mbadala ambazo zinaweza zikasaidia kutatua matatizo.

  Raisi hafurahi kuona kuwa nchi inakuwa gizani, huitaji kuwa na degree ya chuo kikuu kudadaviua hili, la hasha hali ya uchumi wetu ndio inayosababisha yote haya yanayojitokeza kwa sasa. Rais amekuwa akitumia muda mwingi kutumia Muda wake kuwaza kuhusu mtoto yule anayekufa kwa kansa tandahimba, mzee yule anayekosa chakula leo masieda mbulu, na mama yule aliyeko mwandiga kigoma, ambae anajifungua akiwa anamsubiri nesi ambaye yuko kwenye foleni nmb kupokea mshahara wake.

  Rais nasema ndio anayefaa kuongoza nchi hii kwasababu anatumia uelewa wa wananchi wake kuzungumzia hali ya maisha, kwa mfano ni wangapi mlioku humu kwenye jamii forum mnao amini kukua kwa uchumi ni hata kuwa na gari, kwani uongo mwaka themanini ni wangapi wetu waliokuwa wanamiliki magari, leo hii ooh magari sio kukuwa kwa uchumi rais hafikirii angetatua tatizo la foleni, Je rais kama angeshauriana na Magufuli na kusema parking mjini kwa siku ni shilling elfu ishirini si mngeandamana uchi nyie mnaokuwa wepesi kulalamika??? Faini iliposomwa laki tatu badala ya hamsini mlipanua midomo mpaka kimeo kikaonekana.

  Rais kikwete ndio anayeweza kuongoza nchi hii, kuna baadhi ya wananchi wanao ona umeme ni anasa NDIO pia sisi tunaongozwa na huyo huyo mnao muona hafai kwetu tatizo sio umeme, HATUNA MAJI je kila mtu akianza kumuambia rais arudi safarini alipoenda KUHEMEA kwa ajili ya watu wake je mambo mengine yatatatulika??? Kwani ni asilimia ngapi ya wananchi wenye access ya umeme???? Hapa watu wanatumia kila nafasi kupayuka hasa kwa miitikio ya kisiasa, Angekuwa Dr Slaa rais angefunga vinu vya nuclear vizalishe umeme au angeangalia juu mwenyezi Mungu alete mvua????

  Kikwete wewe ndio unaofaaa sisi asilimia 80% tuishio vijijini wewe ndio rais wetu, tunakutambua na kukuunga mkono na yote ufanyayo ni kwa ajili yetu, rais haendi ulaya kufanya shopping ya chakula ndani, wala nguo za kuvaa anenda kwa lengo moja tu la kutafuta jinsi ya kutimiza AHADI ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

  Rais kikwete ndio anayefaa kuongoza Tanzania, Mungu mpe afya na hekima ya kuendelea kutatua matatizo ya watu wako, ningekuwa na namba ningekutumia sms ya kukupongeza.

  MAISHA BORA HAYAJI KWA KULALA, MAJUNGU NA MAANDAMANO AMKA FANYA KAZI TANZANIA ITAJENGWA NA MWANANCHI MMOJA MMOJA:
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sio safari zote za dunia za muheshimiwa, rubani ni yeye. Huwa anatumia ndege za kawaida, ingawa ni first class. Miaka kama miwili mitatu iliyopita, aliwahi kuachwa na ndege kwa kutojali muda.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kaaaaa.......Umejitahidi kuflowQUOTE=Salas;2258594]Watanzania tumegubikwa na tamaduni ya kukurupuka na kuendeshwa na matukio siku zote, rais ambaye ni mtulivu ambaye anajua kupanga ni kuchagua huwa asilani hana papara rais amekuwa akitumia muda mwingi kusafiri huku na huko kutafuta ni jinsi gani ataweza kusaidia changamoto zinazowakabili watu wake. Tusiwe tunafikiri kwa kutumia ubongo na sio ufahamu kama vile tunavyo wakshifu wengine kuwa wanatumia matumbo kufikiri tukiwa tuna maanisha wanafikiri kwa njaa. Rais Kikwete ameonekana akiwa bega kwa bega na watu wake katika mambo mbalimbali yanayokabili hali ya maisha ya kila siku, alikuwepo mkapa shutuma nyingi zilielekezwa juu yake ni mbabe, sio msikivu, dictator nakadhalika lakini leo hii wale watu hao kwa fikra zilezile wanadiriki kumkashifu muheshimiwa rais kwa tuhuma nzito na kubwa kabisa lakini tunajua agenda zao, wanatumiwa na uma wa wezi na wenye uchu wa madaraka.Tanzania ni kisiwa cha Amani na Utulivu, kama unabisha leo hii njoo burundi uone nini kinachoendelea, Asilani tutalinda amani na utulivu wa nchi hii kwa nguvu hata kwa tone la mwisho la damu kama itatupasa kufanya hivyo.Tumekuwa wepesi wa kulaumu na kuendeshwa na matukio haya swala la UMEME, je unafikiri kama raisi akitatua tatizo la umeme matatizo mengine yatakuwa yameeisha kwa mfano, vifo vya kinamama na watoto, elimu, maji, masoko ya biashara kwa wakulima wetu, ajira kwa watu wetu tunakurupuka kwa mihemuko ya kisiasa.Fikra sahihi huja pale mwanadamu, anapotumia na kufikiri nnje ya boksi kwa kuangalia na mbinu nyingine mbadala ambazo zinaweza zikasaidia kutatua matatizo.Raisi hafurahi kuona kuwa nchi inakuwa gizani, huitaji kuwa na degree ya chuo kikuu kudadaviua hili, la hasha hali ya uchumi wetu ndio inayosababisha yote haya yanayojitokeza kwa sasa. Rais amekuwa akitumia muda mwingi kutumia Muda wake kuwaza kuhusu mtoto yule anayekufa kwa kansa tandahimba, mzee yule anayekosa chakula leo masieda mbulu, na mama yule aliyeko mwandiga kigoma, ambae anajifungua akiwa anamsubiri nesi ambaye yuko kwenye foleni nmb kupokea mshahara wake.Rais nasema ndio anayefaa kuongoza nchi hii kwasababu anatumia uelewa wa wananchi wake kuzungumzia hali ya maisha, kwa mfano ni wangapi mlioku humu kwenye jamii forum mnao amini kukua kwa uchumi ni hata kuwa na gari, kwani uongo mwaka themanini ni wangapi wetu waliokuwa wanamiliki magari, leo hii ooh magari sio kukuwa kwa uchumi rais hafikirii angetatua tatizo la foleni, Je rais kama angeshauriana na Magufuli na kusema parking mjini kwa siku ni shilling elfu ishirini si mngeandamana uchi nyie mnaokuwa wepesi kulalamika??? Faini iliposomwa laki tatu badala ya hamsini mlipanua midomo mpaka kimeo kikaonekana.Rais kikwete ndio anayeweza kuongoza nchi hii, kuna baadhi ya wananchi wanao ona umeme ni anasa NDIO pia sisi tunaongozwa na huyo huyo mnao muona hafai kwetu tatizo sio umeme, HATUNA MAJI je kila mtu akianza kumuambia rais arudi safarini alipoenda KUHEMEA kwa ajili ya watu wake je mambo mengine yatatatulika??? Kwani ni asilimia ngapi ya wananchi wenye access ya umeme???? Hapa watu wanatumia kila nafasi kupayuka hasa kwa miitikio ya kisiasa, Angekuwa Dr Slaa rais angefunga vinu vya nuclear vizalishe umeme au angeangalia juu mwenyezi Mungu alete mvua???? Kikwete wewe ndio unaofaaa sisi asilimia 80% tuishio vijijini wewe ndio rais wetu, tunakutambua na kukuunga mkono na yote ufanyayo ni kwa ajili yetu, rais haendi ulaya kufanya shopping ya chakula ndani, wala nguo za kuvaa anenda kwa lengo moja tu la kutafuta jinsi ya kutimiza AHADI ya maisha bora kwa kila Mtanzania.Rais kikwete ndio anayefaa kuongoza Tanzania, Mungu mpe afya na hekima ya kuendelea kutatua matatizo ya watu wako, ningekuwa na namba ningekutumia sms ya kukupongeza.MAISHA BORA HAYAJI KWA KULALA, MAJUNGU NA MAANDAMANO AMKA FANYA KAZI TANZANIA ITAJENGWA NA MWANANCHI MMOJA MMOJA:[/QUOTE]
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  yani unaomba namba yake wakat mwenzako aliitoa kwa watz miliƶn 40 wapgie wamweleze matatzo yao. Ushauri wangu search namba ya rais from google itakuja info from gazet la mwanahalisi walishawahi kuianika hadharani, ningekupa lkn niliifuta coz cwez kukaa na # ya gamba.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa unamsifia na kumpasisha halafu unaomba CV... aisee

  Hivi wale wa KLM, Qatar, Imarati, Sosoliso etc. watakua vipi?
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  duuuuh...unatumia muda mwingi kuandika uharo wa namna hii, yet you call yourself a great thinker????!!!!!!!!!
   
 8. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanaotumikia mafisadi wanajulikana,utawaona wanatetea kila kitu,hivi ni Rais wa nchi gani maskini anayesafiri kama wa Tanzania?Tupe mifano michache ya faida ya hizo safari,sana sana wanatafutwa watu wa kuuziwa nchi kwa mikataba ya kuvuna mali zetu bila kulipwa chochote.Kamati ya akina zito ilipendekeza NSSF wapewe mradi wa kiwira wazalishe umeme kwanini wamekataliwa kama sio ufisadi?Mbona CRDB inafanya vema na inaendeshwa na wazawa?Tuwe makini tunapotetea watu kwani mtanzania wa sasa ana uelewa wa mambo yanavyoendelea duniani .
   
 9. m

  mndeme JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sijaona hoja mkuu
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi natamani siku moja amdondoshe baharini ili atuondolee matatizo, khaaaaa! Akifanya hilo mi ntamsifia.
   
Loading...