Tumshauri Kijana mahusiano yamemvuruga sana kaathirika kisaikolojia

Kukua sio umri labda kama aliruka stage.
Cha kumchanganya nini hapo sasa
Mtoto sio wako,ujafunga nae ndoa,hana miguu kwani
Keshaamua kumove on,
Tatizo ni mindset aliyokwisha weka kichwan mwake,
Sidhan km Yuko sahii sn khs mahusiano,wanawake na ndoa
 
Atapoa atakuwa SAwa tu, wapenzi waliotuumiza zamani siku hizi unajiuliza mbona wa kawaida tu ilikuwaje nikadata.
Mwambie time hill
 
We hebu edit hii comment vizuri.

Na ni kweli mda ukifika utaona nilipaswa kufany mambo mengne tu kuliko nilivyo data kwa yule binti.
 
mapenzi sometime ni vurugu vurugu tuu... Mwambie jamaa aombe sana alafu awachukie wanawake kwa muda wa siku 60 mpaka 90 yani kila anae mwona amuone mpuuzi tuu aufundishe moyo wake hivyo Mpaka akili ikubali kua mapenzi ya kweli hamna na akili izoee kabisa.. alafu akijihisi hasira na uchungu moyoni aitumie kutafuta hela na kujiimarisha vizuri..ila asiache kuomba..

Kadiri anavyo jitia sumu ya kuwachukia wanawake ndio atazidi kupona na kusonga mbele kiuchumi... Ila huo muda ukiisha wa siku 60/90 .aanze kujifundisha kupenda tena upya ataona wanawake ni kitu cha kawaida sana na hatokua na presha nao tena.. maana ile sumu aliyo jilicha ya chuki itamfanya ajiweke yeye kipaumbele zaidi mbele ya mwanamke yeyote
 
Mkuu kaa na kijana mpe mawili matatu naimani huwezi kukosa ,busara yako ni kubwa na ni muhimu kumsaidia hapa mi sina neno
 
Aisee, haya mambo uyasikie kwa jirani, unaweza ukajikuta unaongea mwenyewe barabarani, mpe pole sana huyo dogo. Its very demoralizing, women are bad news.

Atulie tu, hiyo ni ajali tu, apige mechi zake kwa uangalifu
 
Aisee, haya mambo uyasikie kwa jirani, unaweza ukajikuta unaongea mwenyewe barabarani, mpe pole sana huyo dogo. Its very demoralizing, women are bad news
Serious mkuu,
Kijana kavurugwa balaa,
Mwenyewe imeniuma mno nikawaza ningekua nmevaa viatu vyake na ndo kwanza mchanga kimahusiano ingekuaje
 
mapenzi sometime ni vurugu vurugu tuu... Mwambie jamaa aombe sana alafu awachukie wanawake kwa muda wa siku 60 mpaka 90 yani kila anae mwona amuone mpuuzi tuu aufundishe moyo wake hivyo Mpaka akili ikubali kua mapenzi ya kweli hamna na akili izoee kabisa.. alafu akijihisi hasira na uchungu moyoni aitumie kutafuta hela na kujiimarisha vizuri..ila asiache kuomba..

Kadiri anavyo jitia sumu ya kuwachukia wanawake ndio atazidi kupona na kusonga mbele kiuchumi... Ila huo muda ukiisha wa siku 60/90 .aanze kujifundisha kupenda tena upya ataona wanawake ni kitu cha kawaida sana na hatokua na presha nao tena.. maana ile sumu aliyo jilicha ya chuki itamfanya ajiweke yeye kipaumbele zaidi mbele ya mwanamke yeyote
Shukran sn Kwa ushaur mzur,
Nmeongeza madini sn kwny comment yako
 
Back
Top Bottom