Kukua sio umri labda kama aliruka stage.Mtu uyu kijana, he's 30s kama sikosei
Cha kumchanganya nini hapo sasa
Mtoto sio wako,ujafunga nae ndoa,hana miguu kwani
Kukua sio umri labda kama aliruka stage.Mtu uyu kijana, he's 30s kama sikosei
Keshaamua kumove on,Kukua sio umri labda kama aliruka stage.
Cha kumchanganya nini hapo sasa
Mtoto sio wako,ujafunga nae ndoa,hana miguu kwani
Atapoa atakuwa SAwa tu, wapenzi waliotuumiza zamani siku hizi unajiuliza mbona wa kawaida tu ilikuwaje nikadata.Keshaamua kumove on,
Tatizo ni mindset aliyokwisha weka kichwan mwake,
Sidhan km Yuko sahii sn khs mahusiano,wanawake na ndoa
We hebu edit hii comment vizuri.Atapoa atakuwa SAwa tu, wapenzi waliotuumiza zamani siku hizi unajiuliza mbona wa kawaida tu ilikuwaje nikadata.
Mwambie time hill
Time hillsWe hebu edit hii comment vizuri.
Na ni kweli mda ukifika utaona nilipaswa kufany mambo mengne tu kuliko nilivyo data kwa yule binti.
Hivi unafanya makusudi au vipi mkuu 🤣🤣🤣🤣Time hills
Serious mkuu,Aisee, haya mambo uyasikie kwa jirani, unaweza ukajikuta unaongea mwenyewe barabarani, mpe pole sana huyo dogo. Its very demoralizing, women are bad news
Atulie tu, hiyo ni ajali, apige mechi zake kwa uangalifu.Serious mkuu,
Kijana kavurugwa balaa,
Mwenyewe imeniuma mno nikawaza ningekua nmevaa viatu vyake na ndo kwanza mchanga kimahusiano ingekuaje
Shukran sn Kwa ushaur mzur,mapenzi sometime ni vurugu vurugu tuu... Mwambie jamaa aombe sana alafu awachukie wanawake kwa muda wa siku 60 mpaka 90 yani kila anae mwona amuone mpuuzi tuu aufundishe moyo wake hivyo Mpaka akili ikubali kua mapenzi ya kweli hamna na akili izoee kabisa.. alafu akijihisi hasira na uchungu moyoni aitumie kutafuta hela na kujiimarisha vizuri..ila asiache kuomba..
Kadiri anavyo jitia sumu ya kuwachukia wanawake ndio atazidi kupona na kusonga mbele kiuchumi... Ila huo muda ukiisha wa siku 60/90 .aanze kujifundisha kupenda tena upya ataona wanawake ni kitu cha kawaida sana na hatokua na presha nao tena.. maana ile sumu aliyo jilicha ya chuki itamfanya ajiweke yeye kipaumbele zaidi mbele ya mwanamke yeyote