halo jf! Kuna mdogo wetu amemalza 4m 4 na ana d tatu (history, geography na kiswahili) masomo mengine ana f. Naomba kufahamu kama kuna colleges ambazo anaweza kuqualify kufanya course za certificates coz dogo hataki kure-sit. Msaada wenu katika hili plz, natanguliza asante