Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
So ulitaka vitu vidogo vidogo hivyo aingilie. Vita ya gwajima vs makonda, ndugai vs Assad umeisahau? Magufuli aliingilia.Mkuu huyaoni yanayoendelea nini hapa nchini mwetu?? Kuna tatizo kubwa la kiuongozi hasa pale Juu. Yaani pamepwaya mno. Nikupe mf mmoja tu: Gwajiboy katamka wazi kuwa kuna Viongozi wamekula rushwa ili chanjo iingie nchini. Hii alimlenga Rais. Waziri wa Afya ambae ni sehemu ya Serikali akatoa amri akamatwe kisha ahojiwe. IGP kachomoa. Ndugai katoa maelekezo Kwa IGP nae kagomewa. Mama kimyaaaa. Kwako wewe unapata picha gani kwenye Uongozi wa Juu??
Au hadi Serikali itakaposhindwa kuwalipa mishahara watumishi wake ndio utaelewa??
Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Suala la kuwa Mkuu wa Nchi Kala rushwa sio dogo au kwako unalichukulia poa???So ulitaka vitu vidogo vidogo hivyo aingilie. Vita ya gwajima vs makonda, ndugai vs Assad umeisahau? Magufuli aliingilia.
Nyie tangu gaidi aqekwe selo ndo mmejitoa akili kumchafua rais. Stupid hila zenu zinajulikana.
Kuna vurugu kwenye mshiko,huenda kuna watu wanagombania pesa nyumanya pazia,bora kutengeneza filamu tuuNdo maana hata mapunjo ya watumishi hayalipwi!!!!!
MwacheniHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
Iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
Hao Mawaziri na Wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
Halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana?
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao.
Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE.
Kiongozi mzuri ni yule anaepotezea wajinga. Sio kama yule jiwe kila anaeongea anamtafuta anamminya p*mb. Watu aina ya JK na Samiah ndo viongozi wazur.Suala la kuwa Mkuu wa Nchi Kala rushwa sio dogo au kwako unalichukulia poa???
Huyu huyu lissu si ndio alisema magufuli yupo nairobi? Ndio huyu huyu alisema bodyguard wa magufuli kafariki na tukamuona msibaniHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
Iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
Hao Mawaziri na Wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
Halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana?
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao.
Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE.
Walianza mama samia anaendesha na kikwete leo wamehamia kwa magufuliMawazo na ajenda za ChADeMa...etu mama Samia kawekwa kivuli! Kisa Mbowe!
Si aliwaambia hataki Siasa za fujo?
Anajifanya mbishi eti kwa kuwa Rais mwanamke!
Katiba inamtambua yeye ndiye Rais..ushauri wako hauingii akilini na ni wa hovyo. Kinyume na katiba
Alafu huyo mpuuzi anadai Mama yuko hostage' wakati yeye ndiye refugee. Akija kukamatwa kwa kutoa taarifa za uongo na kusabisha taharuki yeye na wenzake watadai Mama Samia dikteta anakamata wapinzani!
Tatizo miongoni new wasaidizi wa karibu wanamchonganisha wazi wazi na wananchi . Mfano rahisi wanaponyamazishwa wanao ibua mapungufu ya serikali.Kupitia ukosoaji jenga.Mkuu yupo hapo mpaka 2025, tumsaidie pale penye mapungufu..tukisusa ni sisi ndio tunaumia zaidi...
Atafika tuu kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza kuongoza hapa Duniani? Kwani amekwambia haUpjiamini au wewe mtoa mada unaona hajiamini?Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
Iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
Hao Mawaziri na Wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
Halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana?
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao.
Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE.
Sijui kwa nini watu wanapenda sana kusoma ujinga unapopostiwa humu, yaani lijitu lizima na akili zake kisoda linasoma ujinga wa mtu [emoji12][emoji12]Sijui kwa nini watu mnapenda kuwaza ujinga. Hapo mtajiuliza maswali na kujijibu.
Weee jamaa utafikiri Lissu kakunyanyang'a demu?? Yaani kila post wewe ni Lissu tuu angalia utakuwa chizi jombaa...Yani a steo down kwa maneno ya Lisu?
Kuna nchi zina hii kitu, na inasaidia sana but tatizo ni jinsi ya kuwapata ili wawe neutral...Duuuuuh idea hii uliyoitoa kuna jamaa angu aliwahi niambia tukiwa tunajadiliana masuala mbalimbali yanayoendelea nchini,,yeye alisema inatakiwa kuwe na think tank ya taifa ya watu kama 10,,hivi wawe huru na Raisi akikosea wamuweke sawa cha msingi maslahi mapana ya taifa yalindwe n sio maslahi binafsi ya chama au vingozi.so nahisi hii idea ni nzuri
Kauli za mlevi zimpelekee kujiondoa madarakani??!!!Kinachotakiwa ni mama atumie mamlaka yake tu.
Nje ya hapo hao waluohodhi mamlaka ya rais/amiri jeshi watatupeleka pabaya sana! Kama ni kweli, basi hao ni wahaini
Mama Samia please, tumia mamlaka yako kwa faida ya watanzania na kwako pia
UnaombA maoni au unatoa unachofikiri..!??Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
Iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
Hao Mawaziri na Wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
Halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana?
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao.
Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE.
Pale issues nzito zinapozungumzwa mnakimbilia kujuficha kwa kichaka cha Chadema, mkiambiwa akili kisoda mnaanza kulia lia [emoji23][emoji23]Heheheh chadema watu wahuni sana. Walitegemea kumpelekesha mama kumtisha tisha kumpangiabnn cha kufanya walipoona hatetereki hawaamini kama nibyeye anaendesha nchi na sasa wameamua waje na hii ya kuendeshwa na kikundi.
Chadema is a disaster to this nation. Baada ya kuona gaidi yuko lupango wameamua kieneza ujinga.