Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urai kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Kwa kweli hii ni kashfa nzito, kwengine duniani angesha step down, mkuu ungekuwa wewe ungefanya?, ungeachia kiti?lolKama yanayosemwa ni kweli kwanini yuko kimya? Kwanini huu uovu unaruhusiwa kuendelea? Kama kazi haiwezi basi AJIUZULU!
It's been awhile sijasikia mawazo chanya namna hii!!!.. HongeraHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urai kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Katiba, katiba ifuatwe, tatizo yeye amekua akisimamia uvunjivu wa katiba sisi hatuna namna ya kumsaidia zaidi ya yeye na watendaji wake kuhakikisha katiba inawaongoza na si vinginevyo, yanayoendelea ni matokeo ya uvunjifu wa katiba ambayo wameyanyamazia akiwemo yeye mwenyewe na sasa yanamtafuna kwenye nafasi yake kama RaisHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urai kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Katiba, katiba ifuatwe, tatizo yeye amekua akisimamia uvunjivu wa katiba sisi hatuna namna ya kumsaidia zaidi ya yeye na watendaji wake kuhakikisha katiba inawaongoza na si vinginevyo, yanayoendelea ni matokeo ya uvunjifu wa katiba ambayo wameyanyamazia akiwemo yeye mwenyewe na sasa yanamtafuna kwenye nafasi yake kama Rais
Kabla hujafanya chochote unawaza ujinga kwanza!!!...Kikifanikiwa kinakuwa sio ujinga!!!Sijui kwa nini watu mnapenda kuwaza ujinga. Hapo mtajiuliza maswali na kujijibu.
Ndo maana hata mapunjo ya watumishi hayalipwi!!!!!Kinachotakiwa ni mama atumie mamlaka yake tu.
Nje ya hapo hao waluohodhi mamlaka ya rais/amiri jeshi watatupeleka pabaya sana! Kama ni kweli, basi hao ni wahaini
Mama Samia please, tumia mamlaka yako kwa faida ya watanzania na kwako pia
Rebecca samahani wewe ni demu au man? Rais ni mmoja kama hatoshi aambiwe ajirekebishe ama apishe!! Katiba ishaeleza muundo wa uongozi hicho kikundi chako cha big 5 hakiko kikatibaHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
My dear, yeye na mamlaka yote hayo aliyopewa na katiba, mamlaka yanayomwezesha kuuza hata mkoa wowote wa tanzania ameshindwa kujisaidia, yaani kutoa tu hata neno la mamlaka la kuwapotezea mbali wale wanaomkwamisha, sisi tutamsaidiaje, kimawazo? Any idea from you? Kivitendo? What should we do? Tuandamane kushinikiza? Polisi watatupiga kama mbwa koko, umesema iundwe tume au jopo, nani ataunda? Kwa mamlaka yapi?Mkuu yupo hapo mpaka 2025, tumsaidie pale penye mapungufu..tukisusa ni sisi ndio tunaumia zaidi...
Ili Ndugu zenu wateuliwe kuwa mawaziri?, pathetic,mama anaupiga mwingi mno tulieniHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Yani a steo down kwa maneno ya Lisu?Kwa kweli hii ni kashfa nzito, kwengine duniani angesha step down, mkuu ungekuwa wewe ungefanya, ungeachia kiti?lol