Tumsaidie Katibu Mkuu mpya (CHADEMA)

Tumsaidie Katibu Mkuu mpya (CHADEMA)

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Tumsaidie Katibu Mkuu Mpya

VIPAUMBELE POTOFU:

1. Kudai tume huru

2. Kuandaa wagombea uchaguzi mkuu

3. Chadema ni msingi

4. Chadema digitali

5. Ilani ya uchaguzi

VIPAUMBELE SAHIHI:

1. Kusimamia na kutoa Mapato na matumizi

2. Kuhakikisha chama kinajivua sifa ya ukanda

3. Kurekebisha katiba ili kuboresha demokrasia ndani ya chama na kuondoa usultani

4. Kuvunja "inner cabinet"

5. Kuhakikisha chama kina msemaji mmoja maalumu na kuzuia tabia ya kila kiongozi kuitisha press na kutoa matamko

6. Kuhakikisha chama kinajenga ofisi kila kata, wilaya, mkoa na makao makuu.

7. Chama kinaondokana na siasa matukio

8. Chama na viongozi kinaondokana na matendo na tabia zinazopelekea kufungwa au kushikiliwa na vyombo vya dola mara kwa mara.

9. Chama kinajivua sifa ya kupinga kila kitu hata kama kwa kufanya hivyo kinachukiza wapiga kura.

10. Chama kutojihusisha na vitendo vyote vya kihuni, kihalifu, uongo na vinavyokinzana na maadili ya jamii kama ushoga.

Kama akitekeleza haya atakuwa ana tofauti na mtangulizi wake. Ama sivyo hii itakuwa MASHINJI PART II. Itanuka kuliko PART I.
 
Mkuu kwa elimi gani aliyonayo katibu mpya?
Kwa uwezo gani alionao khatibu mpya?
Kwa busara gani alizonazo katibu mpya?
Kwa ushawishi gani alionao juu ya mwenyekiti wake katibu mpya?

Kiukweli Katibu mpya Anachokiweza nikuongea tu Ila utekelezaji na kung'amua Mambo kwa akili ya kisiasa sidhani.

Kwenye hayo Mambo 10 uliyoyataja litakalofanyiwa Kazi sanasana Ni Hilo la kudai tume huru ya uchaguzi kwasababu lipo nje ya chama Ila 9 yaliyobaki yanayohusu uozo wa chadema kamwe hawezi kuyagusa.. badala yake atajifanya Kama yapo sahihi kikatiba ili waendelee kuvuna pesa za ruzuku na mwenyekiti wake aliemuteua.

Mwisho; Waogope Sana wanaopeana vyeo kabla ya kupeana hivyo vyeo hukaa pamoja na kukubaliana interests zao ndo wanateuana. Ko mnyika kateuliwa na mbowe ili atunze na kusuport intrest za mbowe kinyume na hapo ataitwa Msaliti wa chama na Uanachama Anaweza hata kuvuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unaingia mwaka 2020 kichwa chako kikiwa na ubongo uliojaa PANYA wa kikorea
 
Mleta mada wewe ndio umekuja na vipaumbele potofu, umekurupuka kuokota propaganda za lumumba ukajaza hapa, hebu niambie kwanini unasema CDM ni chama cha kikanda?, na tena uniambie, toka viongozi wa CDM wameanza kubambikiwa kesi, serikali imewahi kushinda kesi ngapi?!, mwisho ukimaliza hapo uniambie CDM kinajihusisha na vitendo gani vya kihuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mnyika kwa akili yake ya buku jero sidhani kama anawaza hayo
 
Mmeshindwa kumsaidia Jiwe amekalia utekaji ya Chadema na katibu mkuu wake mtayaweza!
 
Msumali nchi saba

Back
Top Bottom