Anasema ana mpenz wake wamedum kwa mwaka sasa anasema huyu mpenza wake ana mtoto alizaa na mwanaume mwingne akiwa chuon lakin huyo ex aliyezaa naye alifariki kwaajali ya gari. Sasa huyu jamaa yangu anasema anampenda sana huyu mpenz wake na wamekubaliana kuoana. Anasema huyu mpenz wake wanafanya kaz mikoa tofauti. Sasa anasema ktk kufanya mchepuko kwa vile mpenz wake yuko mbali ametokea kumpa mimba bint mmoja hivi na wenye mtoto wamemkomalia sana na anasema hajampenda sana kama anavyompenda yule mpenz wake wa mwanzo.... Sasa anasema yupo njia panda amuoe yupi kat ya hao