Tumrudishe Msigwa tena bungeni

"Akili ndogo hazitawali kubwa"
"A problem caused by same mind can not be solved the same level of mind wchich craeted it"
Hata jk hajaweza kutoa sentens kubwa kama hii. Big up jembe la Iringa.

hv JK ameshawah kutoa quote ya maana...em nisaidie ata moja
achana na zile...ukitaka kula nawe ukubal kuliwa
 
Msigwa hakika ni jembe, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kupambanua mambo, nitasikitika sana ikiwa wana Iringa hawatamrudishwa bungeni
 

Kweli ila LISSU ni sawa na wabunge wote wa ccm including mawaziri
 
Acha upumbavu kwani mfalme Sauli, Daudi, Suleiman na wafalme wengi wacha MUNGU walikuwa wanawaongoza nyani kuna tofauti gani kati ya hao wafalme na kazi msigwa anayofanya Bible yenyewe hata hauijui unaongea pumba tu.

Achana nae huyo
Hawa ndio wanaopotosha maandiko!!!
Hajui biblia huyu
 
Kwani iringa mjini kuna uchaguzi?Ninavyofaham mimi ni kwamba iringa mjini kuna utaratibu wa kumuongezea msigwa muda wa kuendelea kuwawakilisha wana iringa mjini bhaaaaasi
 
anadhalilisha taaluma ya uchungaji.. ni bora ieleweke kuwa ameacha uchungaj ni mwanasiasa kama dr slaa..! VITA VYAKE HAVIPASWI KUWA VYA ULIMWENGU HUU BALI VYAPASWA KUWA VYA KIROHO.. MATHAYO 7;21

Kasome tena biblia,naona huelewi kabisa!
In short hatuwezi kuacha Giza litawale huko!!
 
Kwani iringa mjini kuna uchaguzi?Ninavyofaham mimi ni kwamba iringa mjini kuna utaratibu wa kumuongezea msigwa muda wa kuendelea kuwawakilisha wana iringa mjini bhaaaaasi

Upo
Tena ndani ya cdm kuna ambae amechukua form ya kuomba ridhaa hiyo,so hatakua peke yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…