Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,476
AiseeAlaumiwe Mungu aliyewaumba maana aliwajua hata kabala hajawaumba,kama ndivyo hao viumbe hawana kosa lolote.
Aiseee hivi ,vitu vinafikirisha sana, kwahiyo hapa tunang'amua nini????Hapo kuna ishu ya Yuda Iskarioti (Japo iko kwenye Ukristo tu). Kwa maelezo ya Yesu, ilikuwa tayari imepangwa asalitiwe ili afe. Lakini Petro katika matendo ya mitume anamlaumu Yuda vikali kwa kumsaliti na kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine. Kwa mantiki hiyo Yuda anaonewa.
AiseeeHapo ndipo utaona hii story imetungwa enzi za ujinga.
Aiseee hivi ,vitu vinafikirisha sana, kwahiyo hapa tunang'amua nini????
Aisee mkuu ,hapa anaadhibiwaje..... wakati yeye ndiye bingwa wa kuadhibu. kama anavyoahidi kumuadhibu huyo nyoka..na mkarimu wa kusamehe kama alivyowahurumia Adamu na MkeweMungu alipaswa kuadhibiwa adhabu kali sana
Aisee mkuu ,hapa anaadhibiwaje..... wakati yeye ndiye bingwa wa kuadhibu. kama anavyoahidi kumuadhibu huyo nyoka..na mkarimu wa kusamehe kama alivyowahurumia Adamu na Mkewe
Hapa kwa Mujibu wa Vitabu vyake
Wewe unaona hiyo habari iko sawa?Aiseee
Aisee sawah , mahitimisho yetu ni hatma iwe mbaya au njemaSuala la Adam na Eva ni suala la hatma nusu ambayo inahitaji utendaji nusu ikamilike kuwa jinai.....Yani Adam na Eva walizaliwa na hiyo hatma lakini walipewa uwezo wa kuishinda hatma yao na wao wakashindwa kuishinda hatma ya kumsaliti Muumba wao.....
Maisha yetu wote yapo hivyo tunaumbwa na hatma zetu ziwe nzuri au mbaya.....mfano mtu anaumbwa na hatma ya kuwa kiongozi bora na baadae anakuwa kiongozi, lakini katika uongozi wake anakuwa muuaji na kinyume cha maadili ya uongozi na maandiko huyu mtu atakufa kifo kibaya au ataenda mahali pabaya sababu ameruhusu hatma mbaya nusu ishinde hatma yake nzuri nusu....
Hatma zetu ni saa na chungwa nusu, iwe kwa ubaya au uzuri na tunaishi kuitafuta nusu nzuri au nusu mhaya inayoweza kutuokoa au kutumaliza kabisa na hatna mbaya
sawaKila mtu kulinganana na imani yake anaweza kutoa maoni mbali mbali.
Nami kwa imani yangu hio hadithi ya Musa kukutana na Adam sio hadithi halisi Bali ni tungo tu ambazo unazisoma ili kujifunza jambo fulani, sio lazima kisa hiko kiwe kimetokea moja kwa moja.
Ni kama hadithi na mifano ya Yesu sio yote vingine vilikua ni ngano tu.
Na hata kwenye biblia kuna hadithi ya sauli kukutana na samweli amba alikua amekwisha fariki zamani.
Hio hadithi wachambuzi wanasema haikua tukio la kweli Bali kiini macho.
Ni sawa na huo mfano wa Musa na Adam kunaweza kusiwe na uhalisia wowote ila kinapatikana funzo ya kwamba mungu anayajua yote yajayo yaliopo na yaliopita kutoka kwa viumbe wake wote.
Pamoja na hayo yoote lakini uwepo wa mwenyezi Mungu hakuna namna tunaweza kuukwepa, yanaweza kuwepo makosa mengi ya kiundishi , kitafsiti, kimapokeo nk , lakini Mungu yupo.
Bahati mbaya hivyo vitabu vyenye kuelezea uwepo wa Mungu vimejifunga havitaki kukosolewa Wala havitaki kurekebishwa, happy ndipo kwenye changamoto.
Maana akili ya miaka 1000 ilipota ilikuwepo kwa binadamu ni tofauti kubwa Sana na akiii ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app