momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,057
- 2,190
Usije kuchanganya mkuu wapo wachezaji watatu wanaojaribiwa,yupo Kelvin Moyo,Ian Nyoni na huyu galala Coulibally.Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.
kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?
Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
Mi napenda kusema ukweli mara nyingi.Wewe angalau umeongea ambacho wengi hawataki kusikia. Kutoka Mk14 ndo chanzo cha tatizo.
Basi sawa, maoni yako yatasomwa na wahusika.Usije kuchanganya mkuu wapo wachezaji watatu wanaojaribiwa,yupo Kelvin Moyo,Ian Nyoni na huyu galala Coulibally.
Moyo nafikiri ni beki ya kati anatumia zaidi mguu wa kushoto huyu ni mtulivu sana nilivyomuona anafanya build up vizuri sana ila nahisi sio aggressive sana.
Ian Nyoni ni winga ndo huyo nafikiri unaemsema anakasi mara zote anapenda kuliendea goli na ana miguu mijanja mijanja.
Wa mwisho ndio huyu Coulibally ambae hana chakulezewa maana ni hamna kitu ni moja ya mabeki wakati wazembe mno asiejua akae wapi timu inaposhambuliwa.
Nafikiri Mugalu anatakiwa kupunguza Mazoezi gym na kuzingatia zaidi Mazoezi ya kukimbia hasa zaidi short sprinting zinasaidia kumtengenezea wepesi.waalimu wampunguzie Mazoezi ya vitu vizito vizito.anaoenekana hana balance ya mwili juu nimzito mno kuliko chini.anatakiwa akimbie sanaWewe angalau umeongea ambacho wengi hawataki kusikia. Kutoka Mk14 ndo chanzo cha tatizo.
Anacheza sana rafu za viatu tena za dhahiri na wakati mwingine anakabia mikono. Kwenye michuano mikubwa kama ya CAF kila mechi atakula umeme.Tumjadili Thadeo Lwanga kwa mechi 3 za Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.
Je atakua msaada kwa Simba? Wakati tunamjadili Lwanga tuangalie na uwezo wa
1. Mkude
2. Mzamiru
3. Ndemla na mtangulizi wale[emoji116]
4.Gerson Fraga
View attachment 1675081
Nimejiuliza nimekosa majibuNahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
Hakika wewe umesema kweli kabisa.Nafikiri Mugalu anatakiwa kupunguza Mazoezi gym na kuzingatia zaidi Mazoezi ya kukimbia hasa zaidi short sprinting zinasaidia kumtengenezea wepesi.waalimu wampunguzie Mazoezi ya vitu vizito vizito.anaoenekana hana balance ya mwili juu nimzito mno kuliko chini.anatakiwa akimbie sana
Kohokohokohooooo chura bhana! Usajili wa akina balinya, ype, kalengo maybin, sarpong, yacouba ndio usajili au Utopolo kama mlivyo UTOPOLO??Simba wawe wanaomba Yanga iwape course fupi kuhusu usajili. Usajili pekee Simba walioufanya vizuri ni Barbara Gonzalez.
Huyu anatakiwa kucheza na koni tu kama mwezi hivi.asubuhi yeye ni koni tu jioni anajoin na wenzie.huyu ni old type striker.yani hana mambo mengi ni mzuri sana kwenye positioning.Hakika wewe umesema kweli kabisa.
Angefata ushauri wako angetisha sana.
Noted.
Hakika.Huyu anatakiwa kucheza na koni tu kama mwezi hivi.asubuhi yeye ni koni tu jioni anajoin na wenzie.huyu ni old type striker.yani hana mambo mengi ni mzuri sana kwenye positioning.
halafu Simba wanapenda sana mchezaji (beki) aitwe kolibaly😁Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.
kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?
Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
Mtoe Yacouba kwenye hili kundi otherwise ukiri kwamba umeongea kishabiki.0Kohokohokohooooo chura bhana! Usajili wa akina balinya, ype, kalengo maybin, sarpong, yacouba ndio usajili au Utopolo kama mlivyo UTOPOLO??
Tumepigwaa, anacheza sana rafu, hayuko smart kwenye kukaba, pasi hasa za kuhamisha mipira sijaona kwakwel, turns zake pia mmh..
Mo sijui ubahili na usanii ataacha lini...kwa kweli hakuna beki pale.Kwann asitafute beki wa maana kabisa kwa pesa ya maanaa!!Maana haiwezekani ni njia ileile ya kuchukua wachezaji wasiojulikana background zao ndo inatumika kama zamani kitu ambacho hakihitajiki kwa Simba hii ya kisasa buanaNahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
Wasiojulikana kwa nani?... haiwezekani ni njia ileile ya kuchukua wachezaji wasiojulikana background zao ndo
Hapa tusimung'unye maneno.Kwa hatua hii tuliyofika ya group stage tunahitaji kusajili beki mwenye uwezo wa hali ya juu na ikiwezekana vuta hata beki aliye timu ya Taifa au Club kubwa/Ligi inayoheshimika.Sio unaleta beki wa ajabuajabu kama yuleWasiojulikana kwa nani?
Hujajibu swali hilo bado, wasiojulikana na nani? Ulimjua Fraga kabla hajaja VPL? Ulimjua Kotei? Ulimjua Majabvi? Ndio maana nakuuliza wewe kama mtoa post, wasiojulikana kwa nani?Hapa tusimung'unye maneno.Kwa hatua hii tuliyofika ya group stage tunahitaji kusajili beki mwenye uwezo wa hali ya juu na ikiwezekana vuta hata beki aliye timu ya Taifa au Club kubwa/Ligi inayoheshimika.Sio unaleta beki wa ajabuajabu kama yule
Mara nyingi kazi ya kusajili hufanywa na kamati ya usajili.... kwa sababu ya majukumu ya kimaisha....wajumbe wake hawana muda wa kufatilia wachezaji....ushauri kwa uongozi....kamati hii ni ya muhimu sana....wangeifanya wajumbe Wake wakawa na ajira angalau ya mkataba... hii ingewasadia wajumbe kuwa na utulivu wakati wa kutafuta wachezaji.Mo sijui ubahili na usanii ataacha lini...kwa kweli hakuna beki pale.Kwann asitafute beki wa maana kabisa kwa pesa ya maanaa!!Maana haiwezekani ni njia ileile ya kuchukua wachezaji wasiojulikana background zao ndo inatumika kama zamani kitu ambacho hakihitajiki kwa Simba hii ya kisasa buana
Hata usisumbuke, hao ni uto, utapata shida sana kubishana nao, !! Hawaezi kuelewa maisha, !!Mtu hajacheza muda mrefu halafu unasema bado mzito! Atakuwaje mwepesi wakati hana mechi fitness? Huoni kila mechi ana improve? Katika sajiri Bora za simba hii nayo imo muda utaongea
Simba wakati haina pesa ilikuwa inasajili wachezaji wazuri lakini sasa hivi inaungaungaHapa tusimung'unye maneno.Kwa hatua hii tuliyofika ya group stage tunahitaji kusajili beki mwenye uwezo wa hali ya juu na ikiwezekana vuta hata beki aliye timu ya Taifa au Club kubwa/Ligi inayoheshimika.Sio unaleta beki wa ajabuajabu kama yule