Tumia WhatsApp zaidi ya moja kwenye simu 1

Tumia WhatsApp zaidi ya moja kwenye simu 1

Kumbe ni kwa namba hiyo hiyo moja na si kwa namba ya pili!,Nilidhani naweza kutumia whatsapp mbili kwa usajili wa namba ya pili

Mkuu hebu nielimishe kidogo, faida ya kuwa na whatsapp mbili ni nini? naona niko gizani
 
Kabla ulikuwa ukitaka kutumia WhatsApp mbili au zaidi kwenye simu 1 ungeweza kufunga ama OGWhatApp, ENWhatsApp, SAWhatsApp au WhatsApp Plus, sasa hizi zingine zote (clone) hazifanyi kazi tena.

Nini suluhisho la hilo kwa sasa?

Kwenye simu yako (hasa zenye operating system ya Android) ingia PLAY STORE na utafute app/plugin inaitwa DISA, install hiyo kwenye simu yako kisha ongeza WhatsApp nyingine na uendelee kufurahia kuwa na WhatsApp zaidi ya moja.

Disa inakubali app zingine nyingi kama facebook na kadharika.

DISA home page: http://www.disa.im/
DISA on google playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.disa

Kama una swali uliza

Vipi kwa windows phone?
 
Natumia no tatu za whatsapp katika single device kama mnavyoona hapo wadau...only whatsFapp can do this amazing job.
 
Attachments

  • 1432528153909.jpg
    1432528153909.jpg
    21 KB · Views: 316
nina whatsfapp but how to do it

Unapodownload file linakua na apps mbili whatsfapp.com na whatsfapp.cum

Kwanza install official whatsapp kisha chat na watu wawili watatu then Fanya back up ya chats zako kupitia setting>chat setting>backup

Baada ya hapo nenda ktk app store ya simu yako,tafuta ilipo whatsapp ambayo ni official then ibonyeze na ktk options zilizopo bonyeza "clear data"

Baada ya hapo install whatsfapp ya kwanza yenye .com halafu ingiza no uliyokua ukitumia ktk official whatsapp,ktk register utaambiwa backup found kisha bofya restore.

Rudi ktk official wasap na weka no ya Pili na Fanya process za kama mwanzo kuchat na kufanya back up kisha clear data
Then install whatsfapp yenye .cum then register no ya 2 na Fanya restoration ya chats zako.

Kisha rudi official whatsapp na weka no ya tatu uendelee kutumia no 3 kwa mpigo ktk simu moja.
 
asante mkuu. naomba link ya whatsfapp yenye . cum
 
mimi natumia 2lines for whatapp ila simu yako lazima iwe rooted
 
Back
Top Bottom