Tumia TV yako kama Computer kwa Bei chee ; vodafone ZTE

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Vodafone ZTE Internet Pad. (ni zile device kama keyboard ambayo unaconnect na TV na kuitumia kama compyuta) Ipo Mpya inauzwa 100,000/= Tu.

Nipo dar, ila hata kwa wa mkoani naweza kukutumia huko huko uliko.

Device inauwezo mzuri na kazi katika internet.
 
Tangazo zuri litaje makazi pa kupata bidhaa,vipi upo mkoa gani na hiyo keyboard ni portable?
 
mi nipo dar, ni nyepesi sana na portable.

inauwezo wa kusoma na kuandika ms word, ms excell na ms power point. Applications, Messaging kama android nyingine
 
Mkuu TV yangu inatakiwa iwe na nini na nini ili hiyo keyboard ifanye kazi? Au ni yeyote tu hata hili langu la chogo??
 
Unazo ngapi?
Wewe umekuwa wakala wa vodacom?
Maana ukienda vodashop wanakuambia zimeisha mtafute Donn
Vodafone ZTE Internet Pad. (ni zile device kama keyboard ambayo unaconnect na TV na kuitumia kama compyuta) Ipo Mpya inauzwa 100,000/= Tu.

Nipo dar, ila hata kwa wa mkoani naweza kukutumia huko huko uliko.

Device inauwezo mzuri na kazi katika internet.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, hapo vodafone walibugi vibaya mno, that device is useless!
 
aha mm naitumia hata hii meseji hapa jf inaandika tu mbona poa na mm nilinunua Tshs.179,999/= very fast in downloads files
 
Unazo ngapi?
Wewe umekuwa wakala wa vodacom?
Maana ukienda vodashop wanakuambia zimeisha mtafute Donn

hizi napata kwa jamaa yangt yuko voda mkuu. Dukani hupati tena kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
aha mm naitumia hata hii meseji hapa jf inaandika tu mbona poa na mm nilinunua Tshs.179,999/= very fast in downloads files

yap, tena kwenye mambo ya streaming ndo raha sana... Youtube kwa raha zaidi
 
Donn ni kweli hata mm niliziona kwenye matangazo ya Vodafone zimekaa km Keybody ya kawaida sasa mouse nitaipata wapi na itaingia wapi kwenye Screen zetu za vichogo?
Hebu tujuze kwani kuna Na 14 imeikataa kabisa na kusema ni Useless tuhakikishie mkuu
 
haina uwezo wa mouse, ila ina navigation keys zake. Unaweza tumia kama mouse fresh tu
 
Last edited by a moderator:
aha mm naitumia hata hii meseji hapa jf inaandika tu mbona poa na mm nilinunua Tshs.179,999/= very fast in downloads files

dah, kumbe unatumia device ya aina hii...! Mi huwa naitumia zaidi usiku kucheck movies youtube na voda unlimited
 
Back
Top Bottom