Tumia operating system nyingi kwa wakati moja

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,208
2,000
O.S-Operating system

Laptop yangu inayo O.S ya windows 7, kwa O.S hii peke onawza kutumia O.S nyingine kama ubuntu, windows xp .windows 8 n.k binafsi mi natumia O.S ya kali linux
ili uweze kufanya hivi itabidi uwe na virtualizer ambayo moja wapo nnayokushauri ichukue hapa https://www.virtualbox.org/wiki/Downloads then uinstall na ufanye installation ya O.S uipendayo ndani ya virtual box kwa kufata steps ambazo ni rahisi kuelewa

vb-4.31-100066678-orig.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom