Tumia mchanganyiko wa dawa hizi (COMBO) kutibu tumbo, kuimarisha misuli, n.k

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,379
6,931
Karafuu, tangawizi, na mdalasini, Tsh 300 tu.
Imekuwa ni desturi yetu kutumia dawa za hospitali sana ambapo matokeo yake ni mda mfupi. Kama umetumia dawa kwa ajili ya maumivu ya tumbo km. Amoeba na typhoid hasa za hospitalini lkn ikawa inajirudia rudia basi badili mfumo kidogo.

Unaweza badilisha mazingira ukanywa maji na kula vyakula ambavyo kila siku ni maumivu ya tumbo. Hasa maji yanawaathiri watu wengi kama sio ya kuchemsha. Kama umejisahau ukala kitu au kunywa na kusikia maumivu na baada ya matumizi dawa za hospitali zikagoma kutibu ipasavyo, tumia njia hii;

chukua punje za karafuu nne, kipande kidogo cha tangawizi kam mm 5, chukua na vipande vya maganda ya mdalasini kidogo au kama ni ya unga 𝐫𝐨𝐛𝐨 𝐀𝐒𝐣𝐒𝐀𝐨 𝐜𝐑𝐚 𝐜𝐑𝐚𝐒 weka mdomoni tafuna kwa pamoja meza hasa asubuhi hujala chochote hadi nusu saa iishe ndio unywe chai, na usiku mda wa kulala huondoa magonjwa yafuatayo.

amoeba, typhoid, na wale walioathirika na punyeto, na walioishiwa nguvu za kike na kiume pia huimarisha mishipa, huchochea hamu ya mapenzi, huondoa sumu mwilini (detoxification) husaidia ini kufanya kazi vizuri, hupunguza lehemu tumboni (yaani mafuta or cholesterol).

husadia damu kusafirisha oksijeni kwenda hasa kwenye ubongo na mwili kuwa vizuri, hupunguza maumivu ya kichwa, tumbo kwa haraka sana, husaidia usagaji wa chakula na kupata choo laini.
Tumia walau wiki moja,

NB: Mara utumiapo tazama kama itakufaa kwan dawa hutofautiana mtu na mtu, madhara yake ni kidogo endapo itatumika kwa mda mrefu tofauti na za hospitali kuchosha figo na ini.

usizidishe karafuu zadi punje 6 inawezaleta mzio (allergy), Pia inakuwa sumu ukitumia nyingi kwa wakati mmoja. Pia tangawizi na yenyewe ni kidogo ukitumia nyingi huumiza tumbo hasa pale ambapo hujala kitu.

For more information, PM me
 
mimi nimechanganya karafuu,tangawizi,mdalasini,hiriki,zote ni ungaunga,ila mdalasini nimezidisha ni nyingi sana.

huu mchanganyiko unauonaje?
 
Kwani Kuna muda maalumu wa kuacha kutumia au ni mpaka usijisikie tu umepona ?
Inategemea ni ugonjwa gani si kila ugonjwa unaweza kupona kwa hizi dawa. Kama umetumia zaidi ya siku tatu dalili zinazidi kupanda unatakiwa ubadili dawa na hasa ujue ni ugonjwa unatibu kama umetumia ukasikia dalili zimepungua tumia hadi upone, na hata kama umepona unaweza endeleza pia kwani hivi ni viungo hata kwenye chai. Cha msingi usizidishe kipimo. Cha msingi kugundua ugonjwa uliopo nao, mf si kila maumivu ya kichwa ni UTI ama si kila maumivu ya tumbo ni vidonda wakati mwingine hata minyoo, UTI husababisha maumivu ya tumbo.
 
Back
Top Bottom