Tumia mbinu hii ya asili kujua mtu huyu ni ndugu yako wa ukoo mmoja

Haina maana zaidi ya laana tu!!

Kabudi aliwahi kulisemea hili vizuri kabisa alivyokuwa Bungeni. Tuishi kijamii, mambo ya biological father tuachane nayo!!

Kwani ukilea mtoto ambaye sio damu yako kuna hasara gani utapata zaidi ya faida?
Dini fulani hivi inasema siku za mwisho kila mtoto ataelekea kwa baba og, yaan pale kwenye kiama sijui kweli
alafu kujua huyu ni mwanao og nae kunaleta amani haujawahi kusikia mmesomesha mtoto kapata kazi mama anadai huyu si baba yako wakati ukijitoa huku ukijua mwanangu
 
Kisaikolojia hili halipo. Mtoto anazaliwa akiwa clean and pure what affect him/her ni mazingira anayokutana nayo.

HAKUNA TABIA ZA KURITHI. Tukija kwenye mambo ya kitaalamu!!!!
Mazingira na nature ya kitu ni vitu viwili tofauti unaweza ukawa fake ila asili yako inabaki vile vile
 
Kama nimedinya bila Kinga mala kibao tu na siku nikaambiwa Nina mimba yako,naikubali na Mtoto akizaliwa ni wangu tu japo sili ya Mtoto ni WA Nani anajua mama na ndio Mana kaniambia ni wangu ila c ndio nishaambiwa ni wangu why nikatae?
wakuu Mtoto akataliwi na wala usijisumbue na ramli chonganishi.
 
Kwa wale ambao unamashaka na mtoto unazani labda umebambikwa

Au umeenda ugenini unakuta jamaa anadai kuwa umefanana na mmoja kati ya wanandugu wa huyo jamaa

Ishu ni hivi wala usipate shida ya kwenda DNA au ya kupiga simu kwa ndugu zako kuuliza

Cha kufanya kwanza angalia meno yako na yake % kubwa watu wa ukoo mmoja meno hufanana hasa yale ya mbele ya katikati ninaposema ukoo mmoja namaanisha mfano,kina masawe,mhagama,sanga,nk

Hiyi hata kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe usipo fanana nae vyoote ila meno lazima yatalingana na ya wewe baba yake

Kama huamini fuatilia tukamilishe utafiti,maana huu utafiti sio rasmi ni jitiada zangu tu mimi mtoa mada katika kuchunguza mambo


Karibuni mtupe mrejesho
Wewe ni pimbi tu na unawaza kindezi sana mwamba! Yaani umesahau mtu anakuwa na wazazi wa upande mbili ambazo ni koo tofauti! Sasa utalazimisha mtoto aliyechukua upande wa mama afananishe na wa ukoo wa baba?
 
Super natural DNA ni kucha tu, angalia vidole gumba mkono na mguu pia vidole vya mwisho hivyo vingine sio sana lakini kucha hata awe mtoto wa siku moja utapata majibu yote.
 
Dogo torvic mtu wangu inakuwaje hapo kwa shemeji yako? Nina njaa kichiz sasa si nipitie hapo basi mida ya lunch unifunguli geti nipate msosi. Si mmebaki tu pekee yenu na beki 3?
braza mighayo karibu kwa shemeji yangu, alafu shemeji hanaga noma hata nikija na wana agombezi kabisa njoo braza tutakula na tutaangalia na series za kikorea... ukimuelewa na beki 3 wetu nitakuunganishia
 
Wewe ni pimbi tu na unawaza kindezi sana mwamba! Yaani umesahau mtu anakuwa na wazazi wa upande mbili ambazo ni koo tofauti! Sasa utalazimisha mtoto aliyechukua upande wa mama afananishe na wa ukoo wa baba?
We bwana niombe kwanza lazi mm huwa situkanwi hovyo matusi hukohuko mbavuu ww shennzi mkumbwa kmmk

Twende kwenye mada huo ubini unaouzungumzia,kiasilia chimbuko lake ni baba hata yeye mwanamke ana baba yake kwahy ubini wao ni huyo baba yake izo pande mbili kiuhalisia hazipo mama ni kama bank ila wewe unatafuta unaenda kuweka mambo ya kusema mbona niliweka chafu zimetoka noti mpya, haliondoi uhalisia wa kutochukua pesa yako
 
Back
Top Bottom