Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 3,962
- 6,897
HahahahAccordng to JF Subiri mtoto akiwa amelala mpige na dushe kichwani kama sio wako lazma msiba. Nimeua watoto watatu mpk sasa.
Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
HahahahAccordng to JF Subiri mtoto akiwa amelala mpige na dushe kichwani kama sio wako lazma msiba. Nimeua watoto watatu mpk sasa.
Dini fulani hivi inasema siku za mwisho kila mtoto ataelekea kwa baba og, yaan pale kwenye kiama sijui kweliHaina maana zaidi ya laana tu!!
Kabudi aliwahi kulisemea hili vizuri kabisa alivyokuwa Bungeni. Tuishi kijamii, mambo ya biological father tuachane nayo!!
Kwani ukilea mtoto ambaye sio damu yako kuna hasara gani utapata zaidi ya faida?
Mazingira na nature ya kitu ni vitu viwili tofauti unaweza ukawa fake ila asili yako inabaki vile vileKisaikolojia hili halipo. Mtoto anazaliwa akiwa clean and pure what affect him/her ni mazingira anayokutana nayo.
HAKUNA TABIA ZA KURITHI. Tukija kwenye mambo ya kitaalamu!!!!
Muda wote huo unakua unapigwa child support ya kutosha.Kwaiyo nisubirie had mtoto meno yaote ? Hapo kumbuka mtoto ana yale meno ya utotoni na baade yanaota mengne tena.
Siuoni huo ukweli uki apply kwangu maana meno ya watoto wangu na yalivyojipanga mdomoni copy kutoka kwangu mama yaoUkweli upo anza kufuatilia hata kifaa cha dna kilianza na utafiti, kwa kila human Mungu kamwekea code zake
Wewe ni pimbi tu na unawaza kindezi sana mwamba! Yaani umesahau mtu anakuwa na wazazi wa upande mbili ambazo ni koo tofauti! Sasa utalazimisha mtoto aliyechukua upande wa mama afananishe na wa ukoo wa baba?Kwa wale ambao unamashaka na mtoto unazani labda umebambikwa
Au umeenda ugenini unakuta jamaa anadai kuwa umefanana na mmoja kati ya wanandugu wa huyo jamaa
Ishu ni hivi wala usipate shida ya kwenda DNA au ya kupiga simu kwa ndugu zako kuuliza
Cha kufanya kwanza angalia meno yako na yake % kubwa watu wa ukoo mmoja meno hufanana hasa yale ya mbele ya katikati ninaposema ukoo mmoja namaanisha mfano,kina masawe,mhagama,sanga,nk
Hiyi hata kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe usipo fanana nae vyoote ila meno lazima yatalingana na ya wewe baba yake
Kama huamini fuatilia tukamilishe utafiti,maana huu utafiti sio rasmi ni jitiada zangu tu mimi mtoa mada katika kuchunguza mambo
Karibuni mtupe mrejesho
Alaf mwisho wa siku unakuta sio wakoMuda wote huo unakua unapigwa child support ya kutosha.
Avatar...Aisee
Umeipenda?😊Avatar...
braza mighayo karibu kwa shemeji yangu, alafu shemeji hanaga noma hata nikija na wana agombezi kabisa njoo braza tutakula na tutaangalia na series za kikorea... ukimuelewa na beki 3 wetu nitakuunganishiaDogo torvic mtu wangu inakuwaje hapo kwa shemeji yako? Nina njaa kichiz sasa si nipitie hapo basi mida ya lunch unifunguli geti nipate msosi. Si mmebaki tu pekee yenu na beki 3?
Kwan Phd ni nini mkuu?Halafu unataka tukutunuku "Pihechidii" kwa bandiko bovu kama hili?
We mwanamke hiki kikao cha wanaume zaidi ya hapo nazani kuna kitu unakihalalisha hapa,Siuoni huo ukweli uki apply kwangu maana meno ya watoto wangu na yalivyojipanga mdomoni copy kutoka kwangu mama yao
We bwana niombe kwanza lazi mm huwa situkanwi hovyo matusi hukohuko mbavuu ww shennzi mkumbwa kmmkWewe ni pimbi tu na unawaza kindezi sana mwamba! Yaani umesahau mtu anakuwa na wazazi wa upande mbili ambazo ni koo tofauti! Sasa utalazimisha mtoto aliyechukua upande wa mama afananishe na wa ukoo wa baba?
Kwani mtoto anazaliwa na mwanaume? Tafiti yako feki kubali kupokea hoja kinzaniWe mwanamke hiki kikao cha wanaume zaidi ya hapo nazani kuna kitu unakihalalisha hapa,