Tumia Mbinu Hii Kupandisha Mauzo Ya Biashara Yako Mara 10 Zaidi Ndani Ya Siku 30...

Tumia Mbinu Hii Kupandisha Mauzo Ya Biashara Yako Mara 10 Zaidi Ndani Ya Siku 30...

Adama H

Member
Joined
Jan 9, 2026
Posts
12
Reaction score
24
Je ungependa kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara 10 Zaidi Ndani Ya Siku 30

Kama jibu lako Ni Ndio Basi Naomba Uniazime Dakika zako Tano Tu

Niweze Kukuonesha jinsi Ya Kufanya Hivyo

Twende pamoja

Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri inatumiwa sana na kampuni chache kupandisha mauzo ya Biashara zao

Usiku Na Mchana Kama vile kampuni ya
Pepsi,Mr uk electronic, Amazon nk

Na Siri Hiyo inaitwa sales targets Na je
Sales Targets ni Nini

Ngoja Nielezee Hapa Chini

Sales targets ni kitendo Cha Wewe Mfanyabiashara kuwa na lengo la idadi

Ya Bidhaa ambazo Unatakiwa kuuza Ndani ya kipindi Fulani

Au ni kitendo Cha Wewe Mfanyabiashara kuwa na lengo la
idadi ya watu Unaotakiwa

Kuwahudumia Ndani Ya Kipindi Fulani
inaweza kuwa siku,wiki,mwezi Hadi Mwaka

Mfano kama Unafanya Biashara ya Magauni ya wanawake keti Chini Kisha
Andika idadi ya Magauni Unayotakiwa
Kuuza Ndani ya mwezi Husika

Mfano labda umejiweka lengo la kuuza
Magauni 100 kwa mwezi Baada ya Kufahamu idadi Unayotakiwa kuuza

Unachotakiwa ni Kuweka Mikakati ya masoko Na Mauzo ili. Uweze Kutimiza
Lengo la kuuza Idadi Hiyo ya Magauni
Uliojiwekea

Na

Unaweza kuweka Lengo la siku,wiki, Mwaka nk

Na

Kwanini Mbinu Hii inafanya sana kazi kwenye ulimwengu wa Mauzo ni kwa

sababu itakuwa inakufanya utumie
Muda wako Mwingi Kutangaza na Kuuza

Bidhaa Zako ili Uweze Kutimiza Lengo
Lako

Na Kampuni inayotumiwa sana Mbinu Hii Kupandisha Mauzo Ya Biashara Yao

Ni Kampuni ya Pepsi,Pepsi Kabla Hawajaaza Kuuza Soda zao Kila Mwaka timu Yao Ya watu wa Mauzo Huwa inaketi Chini

Na

Kuweka Lengo la idadi ya Soda wanazotakiwa kuuza kwa mwaka Husika

Wakisha Pata Idadi ya Soda wanazotakiwa kuuza kwa mwaka Husika wanaweka Mikakati ya masoko
Na kuingia Sokoni Kuaza Kutangaza na

Kuuza Soda zao Hadi wafikishe Hiyo idadi ya Soda Wanazotakiwa Kuuza

Bonasi Tips

Jeff Bezos Mmliki wa kampuni ya Amazon Anasema Kuwa na Lengo la idadi ya Bidhaa unazotakiwa kuuza kwa kipindi Fulani

Ndio Kiashiria Cha kwanza cha kukuonesha kama Mauzo Kwenye Biashara Yako Yanapanda Au Yanashuka

Tumaini Langu Umepata Kitu Kipya Cha Kujifunza uwe na siku Njema
 
Back
Top Bottom