Hivi walishaacha ile tabia yao ya kuiba pesa za wateja wanaotumia SIMBANKING na huduma zingine? mwanzoni waliwaliza sana watu hasa watumishi wa umma, ukienda benki wanakwambia sio sisi nenda VODA, ukienda Makao makuu yao unazungushwa hadi uchoke, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu vijana wa IT hapo voda