the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
Mkuu nakulipa kwanza ama unanitengenezea kwanza? Na inafanya kazi kwa muda gan?
1 monthMkuu nakulipa kwanza ama unanitengenezea kwanza? Na inafanya kazi kwa muda gan?
Hahaha, hongera.Thread ya kwanza mliikashifu kuhusu hii kitu kutumia internet bure bila ya kuwa na MB wa Salio Katika laini yako Sasa Ipo ivi
Kuna applications maalum ambazo nitakupatia zenye uwezo wa ku bypass traffic za provider wako wa internet na kukuruhusu wewe mtumiaji kuingia internet bure bila ya kuwa na mb wala salio
GHARAMA NI-
Shiling 12000/= kwa PC
shiling 8000/= kwa simu
NJOO INBOX
-laini isiyo na mb wa pesa
simu au computer
8000*watu 20=160000/ anajipatia kiulaini kwa siku hiyo8000 nayo ni pesa pia
Mkuu bado unayo iyo appThread ya kwanza mliikashifu kuhusu hii kitu kutumia internet bure bila ya kuwa na MB wa Salio Katika laini yako Sasa Ipo ivi