Tumfahamu Mamady Doumbouya, kiongozi wa mapinduzi nchini Guinea

Kuna nchi zilipewa uhuru wa mkataba.

Konde kakiuka makubaliano ya mkataba wa uhuru na Ufaransa.

Ukute Konde alikuwa mzalendo halisi ambae aliyechafuliwa na mashine za propaganda za kimagharibiki.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Uzalendo hauwez kua kigezo Cha kusigina katiba ili kung'ang'ania madarakani
 
Ndo tatizo nchi ikishakua corrupt.
Kumpeleka mtumishi wa serikali kusomea nje nikujiongezea hatari ya kujisogezea wasaliti kwasababu hujui kule kaaminishwa nini muda wote wa masomo.

Inahitaji wazalendo kweli kweli kuepuka mitego ya kuzisaliti nchi zao.

Tutengeneze wataalamu wetu hapa hapa!

Dr. Anayemtibu Mh.Rais hawezi kusomea kwenye hostile countries.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mamady Doubouya ameibuka maarufu sana Jumapili Hii Baada ya kuongoza mapinduzi ya kumng'oa madarakani Rais Alpha Conde aliedumu madarakani kwa miaka 11.

Akiongoza mapinduzi hayo, kamanda Mamadou Doumbouya alisema sababu za kuingilia Kati ni Serikali iliyokuwepo kupitisha Katiba Mpya iliyomuongezea muhula mwingine wa TATU Rais Alpha Conde, Huku pia ikimuongezea Rais na wabunge mishahara minono na malupulupu ilhali wananchi wao wakiishi maisha ya umaskini ulokithiri.

Ameongezea pia,
Serikali iliyokuepo ilizidi kukithiri kwa vitendo vya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa nchi yenye rasilimali lukuki kama almasi,dhahabu, cobalt n.k

Zifuatazo ni sifa ZAKE
1. Ni kiongozi wa kikosi mkuu wa kikosi Cha makomando Shupavu ndani ya Jeshi la nchi ya Guinea.

2. Ana masters ya Vita akiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 15 jeshini.

3. Ameshashiriki kuongoza Mission maalum za vikosi maalumu vya umoja wa mataifa (UN) nchini Afghanistan, Ivory Coast, Djibouti na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

4. Kasomea pia kozi maalum za ushushushu wa kijeshi nchini ISRAEL, Cyprus na UINGEREZA.

5. Pia nchini Israel,
Alitunukiwa cheti Cha Ubora uliotukuka katika kozi ya OPERATIONAL PROTECTION SPECIALIST katika chuo Cha kijeshi Cha international security academy.

6. Kasomea mafunzo ya ukomando nchini Ufaransa katika chuo Cha PARIS WAR SCHOOL.

7. Akihitimu mafunzo ya Ukomando nchin Ufaransa, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake

"Excellent ability in identify and defuse risky situations by remaining calm in the face of a hostile environment and extreme pressure".

8. Akihitimu mafunzo ya ushushushu wa kivita nchini Cyprus, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake

"Distictive ability to adapt and improvise to any situation that requires self-control, risk assessment and rapid decision-making."

9. Kamanda mamadou Doumbouya anamiliki masters 2
Masters in defense and industrial dynamics at the University panthéon Assas Paris.
Masters in Defense expert in management, command and strategy.

10. Kamanda Mamadou Doumbouya ameshakua Mwalimu wa Makomando wa kigeni nchini Ufaransa katika misheni maalum za umoja wa Mataifa Akifundisha somo la "risk assessment and rapid decision making"

Hii namba 4&5 balaa
Ndo maana yuko vzr
 
kwenye hicho kikosi cha wanamapinduzi kuna young man mmoja umri miaka 24 ni sniper hatari saana ndio alikuwa na jukumu la kuwavunja miguu na mikono walinzi wa raisi alikuwa one kilometa kutoka ikulu ilipo

all in all lzm kuna mkono wa ufaransa
Aiseee🙌🙌🙌🙌
 
Kumpeleka mtumishi wa serikali kusomea nje nikujiongezea hatari ya kujisogezea wasaliti kwasababu hujui kule kaaminishwa nini muda wote wa masomo.

Inahitaji wazalendo kweli kweli kuepuka mitego ya kuzisaliti nchi zao.

Tutengeneze wataalamu wetu hapa hapa!

Dr. Anayemtibu Mh.Rais hawezi kusomea kwenye hostile countries.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
School of war ipo wapi hapa tanzania? Utamfundishaje mtu aive kufikia hatua ya kuzijua nchi za watu vyema kama sio hukohuko?
 
Mamady Doubouya ameibuka maarufu sana Jumapili Hii Baada ya kuongoza mapinduzi ya kumng'oa madarakani Rais Alpha Conde aliedumu madarakani kwa miaka 11.

Akiongoza mapinduzi hayo, kamanda Mamadou Doumbouya alisema sababu za kuingilia Kati ni Serikali iliyokuwepo kupitisha Katiba Mpya iliyomuongezea muhula mwingine wa TATU Rais Alpha Conde, Huku pia ikimuongezea Rais na wabunge mishahara minono na malupulupu ilhali wananchi wao wakiishi maisha ya umaskini ulokithiri.

Ameongezea pia,
Serikali iliyokuepo ilizidi kukithiri kwa vitendo vya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa nchi yenye rasilimali lukuki kama almasi,dhahabu, cobalt n.k

Zifuatazo ni sifa ZAKE
1. Ni kiongozi wa kikosi mkuu wa kikosi Cha makomando Shupavu ndani ya Jeshi la nchi ya Guinea.

2. Ana masters ya Vita akiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 15 jeshini.

3. Ameshashiriki kuongoza Mission maalum za vikosi maalumu vya umoja wa mataifa (UN) nchini Afghanistan, Ivory Coast, Djibouti na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

4. Kasomea pia kozi maalum za ushushushu wa kijeshi nchini ISRAEL, Cyprus na UINGEREZA.

5. Pia nchini Israel,
Alitunukiwa cheti Cha Ubora uliotukuka katika kozi ya OPERATIONAL PROTECTION SPECIALIST katika chuo Cha kijeshi Cha international security academy.

6. Kasomea mafunzo ya ukomando nchini Ufaransa katika chuo Cha PARIS WAR SCHOOL.

7. Akihitimu mafunzo ya Ukomando nchin Ufaransa, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake

"Excellent ability in identify and defuse risky situations by remaining calm in the face of a hostile environment and extreme pressure".

8. Akihitimu mafunzo ya ushushushu wa kivita nchini Cyprus, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake

"Distictive ability to adapt and improvise to any situation that requires self-control, risk assessment and rapid decision-making."

9. Kamanda mamadou Doumbouya anamiliki masters 2
Masters in defense and industrial dynamics at the University panthéon Assas Paris.
Masters in Defense expert in management, command and strategy.

10. Kamanda Mamadou Doumbouya ameshakua Mwalimu wa Makomando wa kigeni nchini Ufaransa katika misheni maalum za umoja wa Mataifa Akifundisha somo la "risk assessment and rapid decision making"

Umempa sifa kibao lakini huyu ni Mamluki wa Ufaransa, na alikuwa Askari wa France Legion mpaka alivyoombwa kwenda Guinea. Kwahiyo bado Ufaransa wana mkono wao hasa ukizingatia mkewe ni shushushu wa Ufaransa.

Kitendo cha Conde kumchukua Mamluki na kumpandisha haraka haraka mpaka Koplo toka ufaray na kumpa Ukanali ilikuwa kujimaliza.
 
"Kamanda Mamadou Doumbouya alisema sababu za kuingilia Kati ni Serikali iliyokuwepo kupitisha Katiba Mpya iliyomuongezea muhula mwingine wa TATU Rais Alpha Conde, Huku pia ikimuongezea Rais na wabunge mishahara minono na malupulupu ilhali wananchi wao wakiishi maisha ya umaskini ulokithiri."

Mwenye akili na asikie Ila huyu:

IMG_20210906_175550_845.jpg

na atulizane tu.
 
View attachment 1928766

na atulizane tu.
Wanasiasa Ni Kenge
 
Umempa sifa kibao lakini huyu ni Mamluki wa Ufaransa, na alikuwa Askari wa France Legion mpaka alivyoombwa kwenda Guinea. Kwahiyo bado Ufaransa wana mkono wao hasa ukizingatia mkewe ni shushushu wa Ufaransa.

Kitendo cha Conde kumchukua Mamluki na kumpandisha haraka haraka mpaka Koplo toka ufaray na kumpa Ukanali ilikuwa kujimaliza.
Mtasema yote,
Ila ukweli utabaki pale pale, ALPHA CONDE hasafishiki
 
Back
Top Bottom