nafahamu kwamba kuingia kwenye forum ya udini ni hiyari, na sina matatizo na hilo;
Kero yangu ni jinsi tulivyovamia mambo ya udini na kusahau maendeleo na mahitaji yetu kama watanzania, ukifungua latest threads utaona zaidi ya theluthi ni kuhusu udini na kashfa zake
Nadhani we need to draw a line ili tujenge tz ya ubora zaidi, kwani upekuzi unaofanywa na wanazuoni humu ndani [dini zote mbili] ni mkubwa na if similar knowledge and focus was given elsewhere, tungekuwa mbali sana hasa katika vita dhidi ya wabaya wa nchi
Mpenzi wa Islam unanifurahisha sana kwa maneno yako yaliyojaa busara na hekima ya hali ya juu. Uendelee hivyo hivyo Mkuu. Penye majaliwa iko siku tutaonana. Michango yako hapa huwa inanivutia sana kiasi cha kutamani mno kukutana nawe uso kwa uso. Tuombe uhai Mkuu.
Rais mwenyewe, ameamua kwa makusudi kuligawa taifa kwa misingi ya kidini, kikabila, kikanda, kimaslahi (wasio nacha na walio nacho), nk. Yanayotokea humu JF ni by-product ya harakati zake, mambo haya hayajaja kwa bahati mbaya, tusidanganyane! Asifikiri kwamba ataipendelea dini moja halafu aka-go away with it, simply like that, no way! Religious agenda from party's (CCM) election manifesto, 2005, is what triggered all this and mind it WON'T end up in a smooth way! Let him learn from Nigeria, Somalia and elsewhere
hii thread naona haikufai....
Ndugu mheshimiwa Bubu Ataka Kusema shukran wa Jazak Allaahu khayran katheeran kwa nasaha zako na kunipa moyo.
Nitaweka akilini daima na kuheshimu nasaha zako kwa matendo hadi mwisho wa pumzi yangu.
Nami huwa na shauku kuonana na watu wenye heshima kama wewe na wale wote kama wewe.
Insha Allah iko siku tutaonana ana kwa ana.
Mwenyezi Mungu atuzidshie uhai,Atakabalie na kutubariki sote kwa dua zako na zaidi ya hapo atimize ndoto yako tupate bahati ya kuonana ana kwa ana.Insha Allah.
Take it from me!! you are special and one of a kind, busara zako ziko wazi... na huu ndio uislamu tunaotakiwa kuufahamu na kuufuata... ni dini ya amani, brotherhood na upendo!!! nina bahati ya kwenda madrasa kwa miaka kadhaa na mafundisho ya dini kutokana na wazazi wangu kuwa dini tofauti na hawakutuzuia chochote

Mnampa sifa za bure huyo ni mdini namba moja.
Watu wengine ni wa ajabu kweli kweli, huku anajifanya hapendi mambo ya dini lakini kumbe yeye ndiye mkeleketwa namba moja wa dini huyu mpenzi wa uislamu.
Anyaway mie sioni ajabu maana watu wa dini yake siku zote wana sura mbili...............