Tumewawakilisha wote kwenye MSIBA WA BB YAKE PAKAJIMMY

ninyi ni watu muhimu sana na kitendo mlichokifanya ni cha kuigwa..Nawashukuru sana sana
 
Mbarikiwe kwa upendo wenu. Tujenge hii tabia kwani rafiki wa kweli ni wakati wa shida. Pole PJ tuko pamoja nawe.
 
Mbarikiwe kwa upendo wenu. Tujenge hii tabia kwani rafiki wa kweli ni wakati wa shida. Pole PJ tuko pamoja nawe.
Mama Joe, ndugu PJ ni mtu muhimu sana na naweza kusema kuwa ni mhasisi wa kujenga ushirikiano katika matukio kama haya. Nakumbuka sana alivyohudhuria msiba wa Babu yangu kule Arusha pamoja na mvua kubnyesha na kuwa mbali lakini PJ bado alionyesha upendo wa hali ya juu. Nina uhakika atapata sapoti ya kutosaha sana katika hili kwa maombi na kwa wale watakaoenda moja kwa moja kwenye msiba huu. Pole sana PJ
 
Ni kweli Sipo nakumbuka alikuwa anatupa taarifa zote kwenye msiba ule. Hujambo lakini mwanangu. PJ ni line gani niku pm walau vocha umtumie. Nipo mikoani kwa muda.
 
Ni kweli Sipo nakumbuka alikuwa anatupa taarifa zote kwenye msiba ule. Hujambo lakini mwanangu. PJ ni line gani niku pm walau vocha umtumie. Nipo mikoani kwa muda.
Sijambo Mama, Shikamoo, ngoja nikupm namba ya PJ Mama
 
Mungu awazidishie kwa kadiri ya mahitaji yenu, mbarikiwe saana, na shukrani kwa taarifa
 
mbarikiwe wote kwa ushirikiano mlioonyesha.tupo pamoja katika majonzi haya.
 
Wakuu, tunashukuru sana kwa kutuwakilisha.

Pakajimmy pole sana, Mungu akupe amani na kukuzidishia nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

Pole sana Mkuu.

 
Tunawashukuru wanaJF wenzetu kwa uwakilishi huo, hii inaonyesha ni jinsi gani tupo pamoja katika shida na raha, all in all pole sana PJ kwa kumpoteza Baba, RIP Baba PJ.
 
jamani mbarikiwe sana kwa uwakilishi wenu mungu awabariki pole kwa familia nzima ya pakajimmy
 

Tunashukuru sana kwa uwakilishi.... Mungu awazidishie moyo wa upendo
 
Pole sana pakajimmy kwa msiba.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe...!!!
MUNGU Baba wa mbinguni atakufuta machozi na kukupa faraja yake ktk kipindi hiki kigumu kwako.


But also thanks to Nguli for the information...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…