Tumevamiwa na viwavi jeshi, dawa yake ni ipi?

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,265
4,729
IMG-20160223-WA0015.jpg
Hawa jamaa wamevamia kijijini kwetu, ni maafa, dawa ake ni nini
 
Dawa ya wadudu nadhani itafaa, kama wakishindikana huna budi kwenda Chamwino ukawalete wagogo wapate kitoweo saaafi.
 
Daah! Msaada hupati ila mbwembwe tupu. Kimbilia kwa Wataalamu wa Kilimo haraka, nadhani hata huko uliko wapo.
 
Back
Top Bottom