tumeuza nyumba namuitaji mmoja tu

tumeuza nyumba namuitaji mmoja tu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,092
naitaji msichana mmoja wa kuspend nae nimeuza nyumba ya mil 21 umri sio ishu ila awe mzuri na msichana wa kileo mimi sijavuka 30 wala sijapungua 25
 
yes nina kama ten mil
 
Kaweke heshima baa.
Ukienda na hiyo fedha lazima umushushe mikono yule jamaa alie inua mikono kwenye chupa ya konyagi
 
unanunua ukimwi kwa hela yako mwenyewe maskini
 
Kifo hakinunuliwi wala bodaboda na baar sio lengo lengo lake amesema anataka mwanamke wa kustarehe nae,so kama yupo atoe mawasiliano tu sio kumletea ngonjera na ushauri nasaha mwingiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom