Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Jul 27, 2012 #2 Hahahahaaa teh teh,umenikumbusha mbali sana,lol!
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Jul 28, 2012 #3 Ni nini hicho?
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 Jul 28, 2012 #4 Kanyapini said: Ni nini hicho? Click to expand... Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kanyapini said: Ni nini hicho? Click to expand... Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jul 28, 2012 #5 Ghwe kanyapini,huo ni mtungi wa maji ya kunywa!
K Kitandanikwetu Member Joined Jul 27, 2012 Posts 18 Reaction score 2 Jul 28, 2012 #6 Me mpaka leo bibi yangu anao, na ana friji pia, lkn mtungi hauachi
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Jul 28, 2012 #7 nakumbuka nyumbani tulikuwa na mitungi miwili, mmoja ulikuwa unapooza maji kiasi mwingine ulikuwa ni balaa kwa kupooza maji,ukinywa maji yake unahisi koo kusuzika kweli.Mambo ya asili raha sana
nakumbuka nyumbani tulikuwa na mitungi miwili, mmoja ulikuwa unapooza maji kiasi mwingine ulikuwa ni balaa kwa kupooza maji,ukinywa maji yake unahisi koo kusuzika kweli.Mambo ya asili raha sana
Android JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 984 Reaction score 1,241 Jul 28, 2012 #8 dah kweli tumetoka mbali!
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Jul 28, 2012 #9 MziziMkavu said: Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini Click to expand... Siyo kupooza maji tuu,pia huongeza test ya maji kama unvyo jua maji ni test less.
MziziMkavu said: Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini Click to expand... Siyo kupooza maji tuu,pia huongeza test ya maji kama unvyo jua maji ni test less.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jul 28, 2012 #10 Mtungi nona maji yanakuwa ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivu
Mtungi nona maji yanakuwa ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivu
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Jul 28, 2012 #11 MziziMkavu said: Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini Click to expand... Ndio maana kuna msemo wa kiswahili TULIA KAMA MAJI YA MTUNGI!!!!
MziziMkavu said: Mtungi wa maji baridi enzi zetu hakuna Friji basi hayo maji yanakuwa ni baridi unakunywa raha mustarehe Kanyapini Click to expand... Ndio maana kuna msemo wa kiswahili TULIA KAMA MAJI YA MTUNGI!!!!
brazilian JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 604 Reaction score 115 Jul 28, 2012 #12 Halafu maji ya mtungi yanakaharufu fulani kanakoleta faraja ya pekee unapoyanywa. Yalikuwa matamu sana
Halafu maji ya mtungi yanakaharufu fulani kanakoleta faraja ya pekee unapoyanywa. Yalikuwa matamu sana