Uwanja nimefungiwa.. mashabiki wameng'oa viti!!Pole mkuu nenda kacheze mpira
Sisi au wao?Tumetoka mbali kiteknolojia
Wewe ni sokwe?Tumetoka mbali au wametoka mbali?
May be! Unataka ujiweke kundi moja na wenzetu wakati hata toothpick hatujaweza tengeneza? Eti tumetoka mbali.... watu tunajisifia na madawati unataka kusema tuko sawa na wazungu kwenye tekinolojia?Wewe ni sokwe?
Haujawahi kufikiria.May be! Unataka ujiweke kundi moja na wenzetu wakati hata toothpick hatujaweza tengeneza? Eti tumetoka mbali.... watu tunajisifia na madawati unataka kusema tuko sawa na wazungu kwenye tekinolojia?
Unataka nifikirie nini?Haujawahi kufikiria.
Unataka mm nikuambie kitu cha kufikiria...duh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Unataka nifikirie nini?
Haha! We si ndio uliesema sijawahifikiria? Au hujui hata unaloliongea?Unataka mm nikuambie kitu cha kufikiria...duh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haya... fikiria basi upo mbinguni[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Haha! We si ndio uliesema sijawahifikiria? Au hujui hata unaloliongea?
Sisi walaji tu!wazungu ndio wametoka mbali sio sisi