Waswahili hatukukosea tunaposema "pata ela tujue tabia yako"Watu wabaya kakuharibu wee sasa hivi kapata na tuhela anakutosa' pole sana..
Waswahili hatukukosea tunaposema "pata ela tujue tabia yako"
Mpe muda mpaka
ushamba wake wa pesa umuishe kwanza. Atakupa stress tu ukimganda
sasahivi. Fanya yako kama analivyokwambia.
Pole.