Tumeshaichukua Jerusalem, mwanaume na aje.

Tumeshaichukua Jerusalem, mwanaume na aje.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Iwe tuwewaonea au hatujawaonea, Sisi ni wanaume wa shoka hapa duniani, Jerusalem tayari ni mji mkuu wa Israel na tumeshaitangazia dunia, pigeni kelele muwezavyo, na kidume yeyote na aje tumfundishe adabu.
 
Kutesa kwa zamu, kwani kabla ya kuchukuliwa na waisraili walikuwa si vidume?
 
Iwe tuwewaonea au hatujawaonea, Sisi ni wanaume wa shoka hapa duniani, Jerusalem tayari ni mji mkuu wa Israel na tumeshaitangazia dunia, pigeni kelele muwezavyo, na kidume yeyote na aje tumfundishe adabu.
Ndugu yangu hivi unafahamu toka 1967,Jerusalem ilikuwa mkoloni mwa Nani?
 
nasikia waziri mkuu wa israel ndio bosi wa free mason pale mashariki ya kati, ni choko choko ya kuanziasha vita ya dunia
 
Back
Top Bottom