umri nimejibu kwenye post ya nsanjoBado hujajibu kuhusu umri wa mtoto. Kama ni mdogo bado ni rahisi kuyatengeneza bila ya kumwathiri kisaikolojia, kulikoni kusubiri mpaka akiwa mkubwa tena muibuke mseme nyinyi ndio wazazi wa damu.
Njia ya mwanzo ni ya makubaliano na HB kumlipa fidia ya usumbufu na juhudi yake ya kumlea hadi sasa. Njia nyengine (kama njia ya mwisho ikishindikana ya kwanza) ni kulipeleka mahakamani na kufanya uchunguzi wa DNA, na mkubali matokeo yoyote yale (pengine HG alikuwa na uhusiano mwengine zaidi ya kaka yako).
umri nimejibu kwenye post ya nsanjo
No need of DNA test manake hamna ubishi wa uhalali wa mtoto ila issue ni uhalali wa kuvunja makubaliano.
Hb anakubali mtoto sio dau yake
cha msingi kama makubaliano ya kirafiki yameshindikana basi tumieni haki za kisheria ambazo naamini zinaweza kuwasaidia. ingawaje pia mama wa huyo mtoto ana sauti ya kuamua nani awe baba wa kulea huyo mtoto,swali langu ni kkwamba huyo mtoto anatumia jina la nani na pia makubaliano yenu yaliweka wazi kuwa baadae mtamhitaji huyo mtoto?My Kaka (mama tofauti aka mtoto wa nje) tumekulia na kukaa pamoja alimpa mimba housegirl.By the time kaka alikuwa form five
Kwa kumwogopa sana baba akanieleza tumwombe yule housegirl aseme amepewa na houseboy wetu.Houseboy alikubali haraka tena tukaapizana siri isivuje maishani.
Wazazi wetu wakamjia juu hg nikamsihi mama asimrudishe kwao bali ampangie chumba atakuwa akija asubuhi.Wakawa wanaishi na houseboy.Kaka na mimi tulijitolea sana kuwasaidia hasa kwa kuwapa stock ya chakula tulichokuwa tunaiba home.
Now my brother anataka yule mtoto atambulike kwetu, mimi pia namtaka arudi kambi yetu ila baba wa kufikia (former houseboy) katia ngumu vibaya na hataki majadiliano anadai hana uwezo wa kuzaa kwa sasa anaumwa na yuko tayari kuua kama hatutamwelewa
Nakiri tulifanya makosa sasa wewe badala ya kunisaidia unanicheka hivi jaman mnataka niwe chizi?Hahahahaaaa mshahara wa dhambi.....
anatumia jina la ukoo wa mama mtu,cha msingi kama makubaliano ya kirafiki yameshindikana basi tumieni haki za kisheria ambazo naamini zinaweza kuwasaidia. ingawaje pia mama wa huyo mtoto ana sauti ya kuamua nani awe baba wa kulea huyo mtoto,swali langu ni kkwamba huyo mtoto anatumia jina la nani na pia makubaliano yenu yaliweka wazi kuwa baadae mtamhitaji huyo mtoto?
naona hii si njia sahihi!! we mtu kakulelea mtoto kwa uhuni wako wa kufanya mapenzi tangu ukiwa shuleni leo umfungulie kesi, je kama angekataa huyo housegirl angerudi kijijini mngempataje wakati najua kabisa kama mlikuwa wanafunzi hamkuwa na uwezo wa kumiliki simu!!
tafuta another solution Marytina!!!
Yani mlimpa mtu jukumu la kua baba leo mnataka kumnyang'anya?Kama ambavyo hamkumtaka kiasi cha kutaka kubaki na kuonekana "wasafi" kwa manufaa binafsi ndivyo mnamtaka tena huyo mtoto kwa manufaa binafsi bila kumfikiria yeye!Msitake kumharibu mtoto..mwacheni na baba anaemjua!
Chamoto mimi nimeshakiri makosa yangu hapa JFKumficha mtoto haisaidii hata kidogo. Read my lips:
Mtoto Ana Haki Ya Kujua Wazazi Wake.
Fuatilia ushauri wa msnajo ni mzuri ila kama mtamficha hamta kuwa mmemfanyia haki huyo mtoto.
.... hebu njoja kwanza yaani hii imeniuma kweli..
Lakini wewe Marytina mi nakushangaa yaani wewe ulipewa haki ya kumfahamu baba na mama yako halafu unaona sawa eti huyo mtoto mtamwambia baba yake ni nani akikuwa unajuwa mtamuumiza sana huyu mtoto.
Naelewa hii yote ni kutaka kuondoa aibu, Kwanza kwa kaka yako na sasa kwa huyo house boy lakini hii yote ni selfishness ya hao wawili. Wewe kama ni refa kama unavyosema hakikisha huyo mtoto anamfahamu baba yake kwasababu yeye hakuomba kuingia katika hiyo drama.
Pia mwambie huyo kaka yako awe karibu na huyo mtoto msingojee mpaka awe na miaka 15+.
Sindo kutaka kuonekana kama malaika kumbe sio!Nwy mama mtoto yupo hai na hana mpango wa kuivuruga familia yake kwa sasa kwahiyo mwacheni!Kama kipindi hicho hakikufaa kusema mtoto ni wa kaka yenu ndivyo ambavyo na wao wanaona haifai kwa sasa!Huwezi kumpa mwanaume jukumu la kua baba alafu ukamnyang'anya tu kisa mambo yenu yamekaa vizuri!Yani hamfikiria watu wengine hata!Lizzy elewa nia haikuwa tuonekane wasafi bali kumwokoa KAKA kutoka kwenye mikono ya baba yetu.
??????????????????????My Kaka (mama tofauti aka mtoto wa nje) tumekulia na kukaa pamoja alimpa mimba housegirl.By the time kaka alikuwa form five
Kwa kumwogopa sana baba akanieleza tumwombe yule housegirl aseme amepewa na houseboy wetu.Houseboy alikubali haraka tena tukaapizana siri isivuje maishani.
Wazazi wetu wakamjia juu hg nikamsihi mama asimrudishe kwao bali ampangie chumba atakuwa akija asubuhi.Wakawa wanaishi na houseboy.Kaka na mimi tulijitolea sana kuwasaidia hasa kwa kuwapa stock ya chakula tulichokuwa tunaiba home.
Now my brother anataka yule mtoto atambulike kwetu, mimi pia namtaka arudi kambi yetu ila baba wa kufikia (former houseboy) katia ngumu vibaya na hataki majadiliano anadai hana uwezo wa kuzaa kwa sasa anaumwa na yuko tayari kuua kama hatutamwelewa
what is this???????????????????????
thanks GagaWaambieni wazazi wenu wataonge na hao hb na hg wenu ili muwe mnashea custody za mtoto wote maana mkifatilia kwenye vyombo vya sheria nafikiri hakuna kutu kutakachoshindikana.pole na mkasa mzito.