Bado kuna wapinzani waungamkono juhudi ndani ya kampeni wataacha kugombea nafasi zao za ubunge na udiwani ili wampesaport JPM.
Mbona upinzani nchi hii bado,tenabado sana tu,kuna waganga njaa.
Reality, NEC wamekataza watu au vyombo vya habari kutoa matokeo. NEC wanasema kazi ya kutangaza "mshindi" au "washindi" kwa kigezo cha kupita bila kupingwa ni kazi yao; wanasema kuna kamchakato kidogo hadi kufikia kutoa tangazo la aina hiyo. Lazima wapewe taarifa na Msimamizi wa Uchaguzi kwenye ngazi husika. Sasa na wewe usiingie kwenye mtego huo, tusubiri NEC watwambie.
Bado kuna wapinzani waungamkono juhudi ndani ya kampeni wataacha kugombea nafasi zao za ubunge na udiwani ili wampesaport JPM.
Mbona upinzani nchi hii bado,tenabado sana tu,kuna waganga njaa.
Mimi nadhani upinzani ungejitoa kwenye uchaguzi, hakuna sababu ya kushiriki kwenye uchaguzi uliojaa dhulma, Tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa maslahi ya chama tawala