mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Helow friends,
Sio mimi nimeagizwa kuwasilisha.
Mimi ni mwanaume katika pitapita za maisha nimekutana na dada mmoja tumependana sana dada mwenyewe ni mzuri kila idara.
Na ninampenda yeye pia ananipenda. Lililonifanya niombe ushauri ni kwamba kanizidi miaka 5. Nilimwambia kuhusu kumuoa akakubali.
Tafadhalini nishaurini