Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Hahah..nimekumbuka enzi zile za jukwaa la lugha jamani!
Tumependana si haba
alivyo tufunza baba
na kamwe sitokukaba
h'ta unikose mara saba!
Twapendana tangu enzi
zile tukibaka panzi
umeme kwetu kurunzi
kwa bibi kule Chamazi.
Tumependana hadi leo
k'ma mhunzi na koleo
katu s'kuachi mbachao
kwa msala upitao!!!!:A S-heart-2:
Tumependana si haba
alivyo tufunza baba
na kamwe sitokukaba
h'ta unikose mara saba!
Twapendana tangu enzi
zile tukibaka panzi
umeme kwetu kurunzi
kwa bibi kule Chamazi.
Tumependana hadi leo
k'ma mhunzi na koleo
katu s'kuachi mbachao
kwa msala upitao!!!!:A S-heart-2: