Tumepanda ligi kuu, Njombe Mjii Oyeeeee....!!!

Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,026
1,704
Timu ya Mpira wa mguu Njombe mji ya mkoa wa Njombe imefanikiwa kupanda Ligi kuu ya Vodacom VPL Baada ya kuwafunga majirani zao Kurugenzi Fc ya Iringa mabao 2-0 katika uwanja wa mafinga. Kwa matokeo hayo Njombe mji imepanda Ligi Kuu

Hongereni sanaa wadau ,wapenzi na wanachama wa Njombe mjii kwa mafanikio hayoo
 
Hongereni Njombe mji hawa jamaa wamepigana sana na hongera Radio za Njombe kuwapa Support kubwa Njombe mji.

Na vp Kuhusu kiwanja kuna kipind nliacha unatengenezwa sijui kama umeisha au watatumia ule wa Makambako

Cha msingi wajipange mapema na waongeze wachezaji pale penye mapungufu tu na sio kusajili timu nzima.

HONGERENI Njombe mji Sipati picha mitaa ya Nazarethi,Hagafilo,Mji mwema,Kibena...nk walivyokuwa na furaha leo
 
Dah... Njombe naukumbuka mtaa wa dhambi tu
 
Ndio point ya msingi kupambana tu
 
Nadhani ubabe wa timu za dar umepata dawa maana timu za mikoani ndio zimepanda tu, hii itaongeza sana chachu kwa wachezaji hasa wa mikoani wanaohitaji kupata maendeleo au exposure pia
 
Hongereni Njombe mji hawa jamaa wamepigana sana na hongera Radio za Njombe kuwapa Support kubwa Njombe mji.

Na vp Kuhusu kiwanja kuna kipind nliacha unatengenezwa sijui kama umeisha au watatumia ule wa Makambako

Cha msingi wajipange mapema na waongeze wachezaji pale penye mapungufu tu na sio kusajili timu nzima.

HONGERENI Njombe mji Sipati picha mitaa ya Nazarethi,Hagafilo,Mji mwema,Kibena...nk walivyokuwa na furaha leo
Mkuu nipo njombe hapa,,kiwanja kinakarabatiwa ila kuna tajiri mmoja anataka kuweka nyasi bandia
 
Kuna akina Panone fc sijui sasa ivi wako wapi dah. Natamani angetoka huko hata mmoja
Dhaaaa acha tu mkuu
Kama hawa na lipuli wamepanda
Af panon wanabak dhaaa
Nakata tamaa na,soka
La kaskazn yan

Hata oljoro imeshindwa kujirudisha

Ila nawakubali sana panon
Shida cjui n nn kimewakuta
 
Dhaaaa acha tu mkuu
Kama hawa na lipuli wamepanda
Af panon wanabak dhaaa
Nakata tamaa na,soka
La kaskazn yan

Hata oljoro imeshindwa kujirudisha

Ila nawakubali sana panon
Shida cjui n nn kimewakuta
Panone nikiangaliaga nembo yao napatwa na mizuka sana nawaombea sana waimarike wapande ligi kuu at least tuwe na pa kushangilia bwana oljoro nao wamezama tena kwenye tope agrrr
 
Back
Top Bottom