Tumeng'atwa na mbuzi

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,353
Reaction score
16,961
Wakati tukiendelea kujipa moyo kua mbuzi katung'ata kwa bahati mbaya, mbuzi yeye anazidi kutuona sisi ni vibonde wake, sikuhizi anatung'ata halafu anacheka.

Walinzi wa zizi la mbuzi nao badala wafanye kitu wamezibwa midomo kwa ahadi ya mbolea na maziwa.

Bila kumchinja huyu mbuzi kinguvu yeye ndio atashika kisu atuchinje sisi.

Wakati mnamuachia Mungu mkijipa moyo kua mbuzi atazeeka mda wake utaisha, yeye hamuachii Mungu anapanga mipango ya kutawala zizi mpaka aote mzuzu.

Na Bado.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…