Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Kweli ndugu kumbe thamani yako kwao ni uhai wako tu.Walishamalizana naye
Wema hadumu hata siku moja labda m iwe makusudi ya Mungu kama Musa au Yusuf
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu mambo yamefukiwafukiwa lakini kweli hata kumbukumbu ya kifo chake tu? Hatajwi kabisa serikalini.Ni noma sana ukifuatilia uzi wa nini kilimuua Dr. Omar Ali Juma.
Ukiona hivyo watawala wanajua kinachotokea hawataki kumuenzi kinafiki.Ni kweli mkuu mambo yamefukiwafukiwa lakini kweli hata kumbukumbu ya kifo chake tu? Hatajwi kabisa serikalini.
Ule uzi mods hawakuufunga kweli? Maana dah, ilikua balaaNi noma sana ukifuatilia uzi wa nini kilimuua Dr. Omar Ali Juma.
Sidhani kama ushawahi kufutwa labda wanauweka chimbo watu wakiusahau wanaurudisha bila kujua!!Ule uzi mods hawakuufunga kweli? Maana dah, ilikua balaa
Unaitwaje niusake boss...Ule uzi mods hawakuufunga kweli? Maana dah, ilikua balaa
Aendelee kupumzika kwa amanHuyu Kiongozi wa Zanzibar huwa sisikii akizungumziwa kabisa japo alikuwa kiongozi mkubwa.
Alifariki tareh km ya jana 04-July 2001 ila kila nikijiweka karibu na vyombo vya habari sisikii akitajwa kabisa.
Pumzika kwa amani Dr Omari Ali Juma, japo ulifariki nikiwa darasa la 6 na pia mimi siyo mzanzibari ila nakukumbuka.