Tumekwisha

Tumekwisha

hawana mipaka wanchukuwa madini popote yalipo eti tunafaidika na ajira
 
barter trade imefanyika hapo,
chukua NET unimepe MADINI,
 
Bush kaja kuwinda Digidigi na Pofu, sisi tumeachiwa upofu na uziwi tu.
 
juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake
wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu
"JK TAFAKARI" kuwa makini.......

Uwiiiiiiiiiii,liwelelo bagosha......twite buli shiiiiiiiii!!???
 
Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!
 
Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi marufuku kutembelewa na wageni?
 
Lazima tulalamike, hakuna mfugaji anayependa kutembelewa na mbwa mwitu

Huyo unayemuita mbwa mwitu ndiye anayehakikisha kuwa wagonjwa wote wa ukimwi wanapata dawa na kila familia inapata chandarua kwa ajili ya kujikinga na mafua. Je utaendelea kumuita mbwa mwitu tena? Nadhani jibu ni hapana.
 
juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake
wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu
"JK TAFAKARI" kuwa makini.......

These people always has 'permanent' interests with other countries - but never entertain or encourage permanent friendship....

Kumbuka kuna abundant uranium hapa; madini ya kutengeneza nishati.
 
Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!

We punguani nini kutembelewa na Rais wa marekani we unafaidika na nini?usiwe kama kenge mgumba.
 
Back
Top Bottom