Unajua wengine humu wana Mabwana humu wanahisi wanaibiwaa inabid wawe wazii kuchukiana sio mpangoooo
Jaman tupendane tu chuki haifaii
amefanya nisiende tena kwenye jukwaa hilo!Hahaha...kurushiana kashfa za buku 7 ni kama salamu kwenye jukwaa la siasa!
yaani umenipa mwanga....jitu linatumia ID nyingine kutema shudu kisa yupo nawasi wa kuibiwa, wanadhani wote kusaka bwana humu...
mjinga aliyenichokoza mimi simsameh ------- zake....na anabahati..km yeye mjanja angekuja kwa real ID...
amefanya nisiende tena kwenye jukwaa hilo!
Za jion my brother ...
Nna kesi na wewe
Pouwah! !!!
Hapa hapa au chamber????!!!
Nitakuja chamber
Ukiona dalili za mtu kuniibia mme wangu niite....Unajua wengine humu wana Mabwana humu wanahisi wanaibiwaa inabid wawe wazii kuchukiana sio mpangoooo
Jaman tupendane tu chuki haifaii
Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali...
Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments,
Inafikia hatua mtu kujenga chuki na mtu humu ndani,kiasi kwamba kila wakikutana sehemu yoyote JF lazima watoleane maneno ya karaha,
Japo wengine wanasema JF stress free lakini si kweli,kuna siku zinazotokea watu na watu kupishana mpaka kutukanana au kuitana majina tofauti.
Chuki haijengi ndugu zangu, Ni makosa tu ya kuelewa au kuchukuliana kama fulani hafikiri vizuri,Sisi ni wamoja TUPENDANE,TUSHIRIKIANE,TUSIKILIZANE
Leo tuchukue nafasi hii kutakiana amani,ili tuendeleze amaniiii na upendo daima wanaJF.
Wengine si wepesi kusema samahani ,lakina hata ukimtafuta hasimu wako na kumtakia hali na salamu inatosha sanaaa.
Love u JF members, lara1 mambo shostitooo mamaa first lady
Vunja mifupa kama bado meno iko....We dem hebu njoo tucheze hili rhumba hapa nimalize jumapili yangu vizuri ........